kushikilia vyeti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Kampuni ya Pent Optimism inashikilia vyeti vya kitaaluma vya wafanyakazi wake. Tunaomba waturudishie vyeti tutafute fursa nyingine

    Habari, Kuna kampuni inaitwa Pent Optimism iko Dar es Salaam inafanya partnership na Vodacom, inaajiri vijana kwa mkataba ila wanashikilia vyeti vyao vya kitaaluma. Je, iko Sawa? Ni sheria gani inaruhusu mwajiri kukaa na vyeti original vya kitaaluma vya mwajiriwa? Naomba tusaidie katika hili...
Back
Top Bottom