Habari,
Kuna kampuni inaitwa Pent Optimism iko Dar es Salaam inafanya partnership na Vodacom, inaajiri vijana kwa mkataba ila wanashikilia vyeti vyao vya kitaaluma. Je, iko Sawa?
Ni sheria gani inaruhusu mwajiri kukaa na vyeti original vya kitaaluma vya mwajiriwa?
Naomba tusaidie katika hili...