kushindwa kulipa deni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Inasikitisha Mtumishi wa Umma anafanyiwa Eviction kwa kushindwa kulipa Deni la kuuziwa Nyumba na TBA

    Inasikitisha kuona Serikali inafukuza Watumishi wake waliowakopesha Nyumba Kwa Nguvu Kwa kushindwa kulipa deni lote ndani ya Mikataba wa Miaka 3-7. Imagine ameuziwa Nyumba Semi finished, aifanyie finishing ya zaidi ya Million 50, Hapo analipa deni Kila Mwezi. Bado anajitunza yeye na Family...
  2. Deni la Taifa ni giza tuendako

    DENI LA TAIFA NA GIZA TUENDAKO 1961 - 1985 Chini ya utawala wa Mwl. Nyerere (RIP) aliyetawala kwa takriban miaka 25, pamoja na vita ya mwaka 1978-1979 na Idi Amini wa Uganda, mpaka anang'atuka madarakani Deni la Taifa lilikuwa trilioni 3 pekee. 1985 - 1995 Kwenye utawala wa Ali Hassan Mwinyi...
  3. J

    Madeni: Tanzania tuko salama, Kenya iko Kwenye hatari ya kushindwa kulipa Senegal, Nigeria na Malawi zinaheshimika!

    Kwa mujibu wa taarifa ya VoA, Azam na Citizen TV ni Kwamba nchi ya Zambia ndio imeelemewa zaidi na madeni wakiwa kundi Moja na Zimbabwe, Congo, Kenya na Msumbiji Tanzania tuko ukanda Salama Kwamba madeni yetu Yako ndani ya Uwezo kuyalipa Malawi, Nigeria na Senegal ni walipaji wazuri wa madeni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…