Wakuu salama?
Katika pitapita zangu mitandaoni nimekuwa nikikutana na mada baadhi ya wazazi na walezi wakiulizia tatizo na tiba ya watoto kutosimamisha uume, hivyo nimeamua kuja na maswali kwa wataalam ili waweze kutusaidia.
Baadhi ya mada soma
Msaada: Mtoto wangu wa kiume wa miezi saba...