Huko Georgia kwa wiki moja sasa raia wanaandamana na kupambana na polisi baada ya chama tawala kusitisha kwa muda mpango wa nchi yao kujiunga na umoja wa Ulaya(EU). Kura mbalimbali za maoni za Georgia zimekuwa zikionyesha 80% ya raia wa Georgia wanataka kujiunga na umoja wa Ulaya na kuwa...
Hawa radicals wa middle east ni watu wa ajabu sana. Wana sugu ya fujo fujo ndani ya mioyo yao.
Ni aina ya watu amabao wana taka uishi kutokana na misingi yao ya fujo fujo. Wakipigana na wewe hata kama unawashinda watataka ushinde wanavyotaka wao.
Unasema unapigana na Israel kuitafutia haki...
Takwimu zinaonyesha taifa la Japan (kizazi cha waJapan) kinaenda kufutika kabisa ndani ya miaka 100 ijayo. Hii inatokana na kiwango kidogo zaidi kuwahi kushuhudiwa cha uzazi huko Japan, ambapo kwa wastani mwanamke mmoja anazaa mtoto mmoja, ‘fertility rate ni 1.2’.
Maana yake wanashindwa hata...
Wiki hii tumejionea baadhi ya wanavyuo wakijaribu kukusanyika kuwaatetea Hamas (ni wanafunzi hao hao wengi walikuwa na furaha siku ya October 7 Hamas walipoivamia Israel).
Maafisa wa polisi wakiwa na vifaa vya kutuliza ghasia (virungu, tasers, bakora) wanaendelea kusafisha kambi zilizowekwa...
Maelfu ya Waisraeli wamekusanyika nje ya bunge jijini Jerusalem wakishinikiza Waziri Mkuu, Benjamin Netanyahu ajiuzulu.
Aidha, waandamanaji wanataka kuitishwa uchaguzi mpya mapema, na Serikali ifikie makubaliano ya kuachiwa kwa mateka wanaoshikiliwa na Hamas tangu kuanza kwa mapigano Oktoba 7...
#LIBERIA: Waziri wa Ulinzi, Prince Charles Johnson III amejiuzulu nafasi yake baada ya Wake wa Maafisa wa Jeshi kuandamana kwa malalamiko ya Waume zao kutoongezewa Mshahara huku wakiishi maisha duni katika kambi za Kijeshi.
Wanawake hao waliandamana na kuweka Vizuizi kwenye Barabara zinazoingia...
Wafanyakazi wa mgodi wa Dhahabu CATA MINING uilioko Kijiji Katalyo Wilayani Butiama Mkoani Mara, wameanza mgomo wa kutofanya kazi na kuamua kulala katika ofisi za mgodi huo, wakishinikiza uongozi wa Mgodi kuwalipa malimbikizo ya mishahara yao.
Mbali na Mishahara wafanyakazi hao wanadai michango...
Chama cha Madaktari Wazawa wa Nigeria (Nard) kimesema uamuzi huo unahusisha Madaktari wa Hospitali za Serikali unatokana na Serikali kushindwa kutimiza mahitaji ikiwemo maboresho ya mishahara na malipo mengine.
Serikali imedai mgomo huo sio halali na watakaoshiriki hawatalipwa na kudai kuna...
Tunapambana sana ili law school iruhusu "chakula ambacho hakijaiva" kiingie meza ya chakula. Jibu liko wazi, walaji wataharisha, wataumwa matumbo.
Nchi yetu imekuwa ikilia kuhusu mikataba ya hovyo inayosainiwa baada ya kupitishwa (vetted) na wanasheria. Nchi yetu imekuwa ikilia kuhusu kushindwa...
Haiwezekani kabisa CAG afanye kazi yake akabidhi wezi wa fedha zetu, alafu tuendelee kupanga bajeti nyingne, ili tuwape fursa wakaibe tena!!?
Nawaomba wote wenye uzalendo wa kweli tuungane pamoja tufanye maandamano ya amani ili kuelezea hisia zetu kwa ajili ya kulilazimisha bunge ili lijadili...
Hata kama kiwanja ni kizuri cha huko bush huwa ni usumbufu sana kuanza safari za ziada kutoka kwenye mji mkubwa wa mkoa na kuanza safari za kwenda kwenye hivyo viwanja vya mbali huko vijijini.
Kwanini vizitumike viwanja vya town ambako kuna huduma nzuri za hoteli, za kijamii, ulinzi, n.k. haya...
Nimepokea taarifa kutoka kwenye chanzo chenye uhakika zikidai kuwa DC wa Bariadi amewashinikiza wananchi wa mtaa wa Mangaka wilayani Bariadi kupiga kura ya siri kuwaandika majina wachawi na wenye Fisi.
Takribani wiki tatu (3) zilizopita tulisikia habari za fisi kujeruhi na kuua watu kadhaa...
Mbowe alitarajia kuonana na Samia June 12 na siku hiyo hiyo Taasisi ya Urais na Rais mwenyewe walijua watakuwa Omani na siku hiyo hiyo Mbowe kaahidiwa aende Ikulu.
Mbowe, Rais Samia anajua wewe ni muigizaji kwa hiyo na yeye atakuigizia tu hvy hvy kuja maridhiano yaishe ni July 2025.
Kwa...
Bila kuwa na katiba itayodhibiti wizi na utoroshaji wa mali za umma. Tunakwenda kuumia. Maana hii miaka mitatu mpaka uchaguzi mkuu ufanyike tutaibiwa sana.
Mandamano yaitishwe nchi nzima bila kujali itikadi zetu.
Tupate katiba ambayo hata Rais au waziri akifanya ufisadi anafikishwa mahakamani...
Wananchi wa eneo la Kitwiru mkoani Iringa wamelazimika kufunga barabara kwa muda, wakishinikiza kuwekwa kwa alama ya wavuka kwa miguu au matuta, kutokana na matukio ya ajali za mara kwa mara za watu kugongwa katika barabara hiyo.
Wakazi hao wamesema wanawaomba Wakala wa Barabara. Tanzania...
Kwanza majina ya akina Halima James Mdee na wenzake yalipelekwa bungeni na Dr Mahela wa NEC akidai amepewa na Katibu mkuu wa Chadema mh J J Mnyika.
Pili Chadema walipokea rufaa za hao covid 19 ila bado hawazitolea maamuzi kwa mujibu wa katiba yao.
Hivyo CCM ishughulike na mwanachama wake Job...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.