Wakuu Habari zenu.
Kuna jirani yangu huu mwaka wa 12 haonekani na namba yake ikawa haipatikani mpaka Sasa ukipiga amepewa mtu mwingine kabisa. Sijui nini kimemkuta ila Kwa asilimia kubwa atakuwa amefariki.
Kipindi nahamia kwangu, alikuwa hajaanza ujenzi na baada ya mda akaanza ujenzi wa...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amesema Wizara kupitia vyombo vya usalama na taasisi nyingine za Serikali zitashirikiana na Vijana ili kupata suluhu kwa baadhi ya changamoto zilizopo na zinazoendelea kujitokeza katika jamii ikiwa ni pamoja uhalifu, kupambana rushwa, dawa za...
Baada ya mlolongo wa vifo vya Depression ikiwemo cha jana usiku mwanafunzi kujirusha ghorofani niseme tu kwamba watu wanapitia mengi sana, huwa inashauriwa kufunguka matatizo yako kwa watu wa karibu kundoa machungu lakini kwa hapa bongo hali watu wengi huyatunza rohoni.
Shida ni kwamba watu...
Wakuu
ZFF wamekuja na mfumo mpya wa Mapinduzi Cup!
Michuano ya Kombe la Mapinduzi kwa 2025 itashirikisha timu za Taifa na sio vilabu kama ilivyozoeleka ambapo michuano hiyo itachezwa kwa mtindo wa makundi, nusu fainali na fainali itakayopigwa Januari 13, 2025 na mechi zote zitapigwa katika...
Habari wadau!
Ukitaka kujua tabia nzuri au ngumu za baadhi ya wazazi subiri atakapokufa mmoja!
Jambo kama hili huwa linatatulikaje?
Baada ya kifo cha baba wa familia yenye watoto wakubwa na wadogo wanaohitaji uangalizi au usimamizi!
Mama kuanza kuuza mali, viwanja, mashamba kimya kimya pasipo...
Mkurugenzi wa LATRA amesema kwamba kabla ya kupandisha nauli za mabasi walipokea maoni ya wananchi kwanza na kuyafanyia kazi.
Amesema kwamba siku ya kikao hicho Walikuwa Mubashara dunia nzima, na kwamba kila mtu aliona na wengine walishiriki na kutoa maoni yao.
===
“Nauli haitolewi kwa...
Salaam shalom.
INTRODUCTON.
Imeandikwa, Tukiziungama dhambi zetu, Yeye ni mwaminifu na haki, hata atuondolee dhambi zetu na kutusafisha na udhalimu wote.( 1 Yoh 1:9).
Dhambi ni kutotii, kwenda kinyume na maelekezo ya Mungu. Na Roho mtakatifu yupo kutukumbusha dhambi zetu Ili tuzitibie Ili...
12 October 2023
Marrakech, Morocco
Waziri wa nchi fedha na mipango wa Zanzibar Mh. Saada Mkuya Salum aikaribisha IDA
https://m.youtube.com/watch?v=dthlTxsLjFw
December 2023 Benki ya Dunia kupitia taasisi yake ya IDA International Development Association inayohusika kusaidia nchi masikini...
Mkutano wa Kimataifa wa Uwazi na Uwajibikaji (International Transparency and Accountability Conference - ITAC) unaotarajiwa kufanyika Septemba 28 na 29, 2023 wenye lengo la kutoa elimu na kuibuka utatuzi wa changamoto za mazingira unatarajiwa kushirikisha Wadau 300 kutoka Nchi sita...
Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya itaanza kusikiliza maombi ya kupinga mkataba uwekezaji wa bandari kati ya Serikali ya Tanzania na Dubai kupitia Kampuni DP World baada ya kupokea majibu ya Serikali.
Katika maombi hayo ya kikatiba, waleta maombi wanaitaka Serikali kuieleza mahakama sababu za kile...
Kikao kilichoandaliwa na Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kikishirikisha Wadau mbalimbali kujadili kuhusu udhibiti wa uchafuzi wa mazingira kwa njia ya kelele kimetoa maombi na maoendekezo tofauti kuhusu mchakato wa kupunguza uchafuzi wa mazingira kwa njia ya kelele...
Bwana Yesu asifiwe wapendwa.
Kama tulivyokwishatangaziwa na Mwenezi wa CCM komredi Shaka kuwa leo Rais Samia atakuwa na jambo letu.
Tega sikio hapa hapa bwashee.
Nawatakia Dominica yenye baraka!
Hili ndio swali ninalojiuliza kuhusu taratibu na hatua za kufuata katika kuandaa hukumu na mpaka kuja kuisoma mahakamani.
Binafsi natarajia iwe ni siri ya Hakimu,Jaji au Jopo la Majaji husika vinginevyo inakuwa si sahihi.
Swali lingine ninalojiuliza ni je, Hakimu au Jaji baada ya kusikiliza...
Nina tatizo la kifamilia kila nikiwaza nimshirikishe rafiki yangu wa karibu nina sita wazazi wamesha solve lakini bado mwanamke anarudia rudia kutojirekebisha.
Yaani nina mawazo mno sijui nifanyeje ili niwe poa watoto tunao nawaza kuachana lakini naumia nikikumbuka watoto WHAT CAN I DO yaani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.