Huenda ni malezi niliyokulia maana sikuwahi kabisa kumuona mzee wangu akivaa sare na mama yangu.
Ziwe sare za kanisani ama popote pale kwakweli sijawahi Ona hadi sasa wana zaidi ya miaka80!
Ninyi wanaume wenzetu ni Mahaba/upendo sana kwa wake zenu au ni limbwata pamoja na kupandwa kichwani na...
Tunahitaji MAFUNDI wa Kushona CHEREHANI
1. Sifa za Kitaaluma
Uzoefu wa angalau miaka mitatu katika kazi ya kushona cherehani.
Uwezo wa kushona na kukata vitambaa kwa usahihi na uangalifu, kulingana na mahitaji ya kazi.
2. Sifa za Kimsingi
Awe mkazi wa Dar es Salaam.
Umri kati ya miaka 20 hadi...
Habari wadau. Nina kazi ya kushona uniform za wanafunzi. Cherehani ninazo ila nahitaji mafundi wenye uwezo wa kushona. Dondoo za kazi ni zifuatazo;
1. Uniform ni za kike na kiume. Za Kike ni Gauni au Blauzi (Top) na Suruali na za kiume ni Suruali tu
2. Kazi inafanyika KIMARA DSM
3. Nahitaji...
Kuna karakana ndogo inahitaji fundi wa kushona viatu vya kiume hasa travolta.
Mjuzi, awe na uwezo wa kutengeneza hivyo viatu na vionekane vipya kabisa.
Malipo kwa kila pea ni sh. 5000/=
Kama una huo ujuzi, na huna kazi kwa sasa; njoo ujumuike na timu yetu kwa kazi.
Karibu pm, kwa mwenye ujuzi tu.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linamshikilia mwanaume mmoja mkazi wa kijiji cha Kwalakamu wilayani Rombo kwa madai ya kuhusika na mauaji ya fundi nguo, mkazi wa Kijiji cha Ngaseni, Anord Tarimo (30).
Agosti 29, mwaka huu fundi huyo, anadaiwa kucharangwa mapanga sehemu mbalimbali za mwili...
Ndugu yetu Pascal Mayalla amesugua benchi sana. Na kama kutumia uwezo wake kuwashawishi viongozi, ametumia wote.
Ni muda mwafaka sasa wa mwana JF mwenzetu kuukwapua ukuu wa wilaya ya mtwara. Bwana Pascal Mayalla anayohaiba ya kuwa mkuu wa wilaya na anaijua miiko ya uongozi.
Napaza sauti yangu...
Wadau,
Leo tumekuja na fursa ya kazi (paid opportunity) kwa mafundi waliopo Dar es Salaam. Inaweza ikakufaa wewe au mtu unayemfahamu. Mfikishie taarifa hii.
Tunahitaji Mafundi 5 wenye ujuzi wa kushona nguo za aina zifuatazo:
1. Suruali
2. Makoti ya wapishi wa hoteli
3. Mashati
4. Apron
5...
Habari za humu ndani wakuu, kama heading inavyojieleza mimi nipo morogoro mjini ninayo cherehani ila nina majukumu mengine yanayonibana,natafuta mtu aliye serious na kazi na anajua kushona vizuri nimkabidhi cherehani kwa makubaliano maalumu tuweke kijiwe tupige kazi.
mwenye uhitaji huo nicheki...
Habari za muda huu,
Naomba Kwa anayejua machimbo ha vitambaa Kwa bei nzuri ya Jumla na vijora!
Vitambaa nataka nikauze nje ya mji na huwa Mita inakuwa 3,000 na 3,500 naomba anayejua wanapouza Kwa Jumla hapa dar na bei nzuri.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.