Kuna mnyukano wa hoja huko X kati ya wafuasi wa Mwigulu na Wafuasi wa John Pambalu
Pambalu anadai alichukua cash akaenda airport akiwa anasafiri akategemea anaweza kupata dola lakini alipofika airport DAR es salaam akakuta akaambia hakuna dola hata moja kwenye Bureau De change na benki...
Kipindi nipo chuo miaka miwili iliyopita nilikuwa naona USD inacheza kwenye Tsh2300 hivi lakini hivi sasa Dollar imepanda sana. Hii inamaana gani kwenye uchumi wetu?
Kwanini Shilingi inadhidi kupoteza Thamani yake dhidi ya Dollar?
Labda tuseme uchumi unakuwa kwa maana hiyo hata Garama za...