Leo nimeona mijadala fulani ila ilikua inajenga maelezo kuhusu vitabu vyote viwili biblia na Quran, ukiangalia vitabu vyote vimeeleza matukio na historia na wala sio yaliyoshushwa kama wasemavyo.
Sababu inayokazaniwa ni kwamba Mungu kuona adhabu kila akizitioa aliona bora kuandika amri kumi tu...