kusifiwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ukiacha Rais Samia Suluhu Hassan ni nani anafuatia kwa kupendwa na kusifiwa?

    Kama sifa zingefanya binadamu aishi milele, kama kupewa majina yenye sifa kama mtukufu, mpendwa, mbeba maono, Daktari bingwa, profesa, msafi, msikivu, mpendwa, mwenye elimu sana kuliko hata Maprofesa, mwanafalsafa, muumini, mpenda watanzania hata wadudu, mzalendo, mchangamfu, mpole, mwenye...
  2. Kwanini Rais wa Tanzania anapaswa kusifiwa tu na si kulaumiwa

    Kumekuwa na watu wanaohoji kwanini rais anasifiwa sana ila hakosolewi. Kwanza, ana mamlaka makubwa kikatiba. Anaweza kufanya lolote atakalo asivunje sheria. Mfano, alipomteua Makonda wengi walistuka na kulaumu lakini aliwapuuza. Pili, alipomteua mkwewe na kumpa jukumu la kuchakachua, sorry...
  3. Rais wa nchi Kusifiwa na Familia za Marehemu wa Jana na Leo kwa Kuwapeleka Matibabuni India ni kutoka Mioyoni mwao / ni Siasa za Sifa za Kijinga tu?

    Na kwanini basi kwakuwa anataka Sifa na Kutukuzwa asiamue tu kulipia Gharama zote za Wagonjwa nchini mwake?
  4. Kila mtu anapenda kujisifu

    Sio tu kuwa kila mtu anapenda kusifiwa bali kila mtu anapenda kujisifu. Hatuoni wazee wetu wakijisifu kuwa walikuwa na akili sana darasani wakati wanasoma. Kiongozi anaposimama jukwaani katu hajipondi bali hujisifia Fundi kujenga, fundi kuchona, Mwalimu, daktari, wachezaji, kocha,.. kila mtu...
  5. M

    Nimetoka kusifiwa natembea kama mwanajeshi, nimefurahi sana

    Ebana wanajamvi inakuwaje? Nilikuwa natembea kuelekea kwenye Kituo cha basi upande wa pili. Nilipokuwa navuka zebra kuelekea kwenye hicho kituo kulikua na mzee mmoja kakaa anasubiri basi. Cha kushangaza alikuwa ananiangalia kwa makini sana hadi nikajishtukizia. Nilipofika karibu yake...
  6. Ukweli usemwe: Hayati Magufuli ndio alileta siasa za "Uchawa" kwa kupenda kusifiwa na kutotaka kukosolewa

    Hayati Magufuli alikuwa anapenda sana kusifiwa na alichukia kukosolewa mana aliamini yeye yuko sahihi zaidi au anajua mengi zaidi kuliko wengine wote. Watu wakajifunza kucheza na biti na kuanza kumsifia, kila atakae simama akaanza kumpa sifa yeye kwa " maono yake yaliotukuka na kazi nzuri"...
  7. Choice variable ni mnafiki sana. Mazuri yote ya awamu ya 5 utakuta Rais Samia anaingizwa na kusifiwa lkn mabaya eti hakushiriki

    Watu wanafiki ndumilakuwili nyoka hatari ni wabaya Sana wachonganishi hawana constructive ideas mawazo yao ni mfu utakuta vinajipendekeza ety awamu ya 5 ilivuruga hivi hawa watu wa awamu ya tano walivuruga vile walivyo wa ajabu wanatengeneza hoja za kinafiki kumsifia Samia Mfano eti unamsifia...
  8. Sio wanawake tu, hata wanaume hupenda kusifiwa

    Kila mtu anapenda sifa (kusifiwa), si wanawake pekee wanaopenda kusifiwa isipokuwa tofauti yao na sisi ni reaction baada ya kusifiwa au kutosifiwa. Mfano, Mwanaume ukimsifia kwakitu fulani utasikia"ah kawaida tu mbona hahh" yaani haipi uzito sana kwa wakati huo lakini amependezwa! Mwanamke...
  9. Jordan wajisifu kudondosha misaada Gaza.Je, wanastahiki kusifiwa?

    Mfalme Abdallah wa Jordan hapo jana alitangaza kuwa jeshi la nchi hiyo bila hofu lilidondosha misaada muhimu kwenye kituo chake kilichopo Gaza katikati ya vita vinavyoendelea. “Our fearless air force personnel air-dropped at midnight urgent medical aid to the Jordanian field hospital in Gaza,”...
  10. Kama unataka kusifiwa tu, achana na siasa

    Kwenye siasa za kidemokrasia, kuongelewa vibaya ni jambo la kawaida sana. Ni jambo la kutegemewa. Kama kuna ambao hawaridhishwi na utendaji wako wa kazi, basi watu hao wana haki zote za kukuzungumzia vile wapendavyo, ikiwemo kukudhihaki, kukutukana, kukucheka, kukuzudoa na ‘kuku’ kivingine...
  11. P

    Kwanini watu wengi wanapenda kusifiwa na sio kuambiwa ukweli?

    Salama Ijumaa hii? Kusifiwa ni jambo zuri, hasa ukipewa sifa ikiwa umefanya kitu kizuri. Inakupa hamasa ya kufanya vizuri zaidi. Shida inakuja ukiambiwa kinyume. Yaani mtu akikuchana ukweli unakasirika, unafura na kumuona tu hafai. Tena ukiambiwa ukweli na mtu aliyekuwa anakusifia kila siku...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…