Mahakama ya juu nchini Uganda imeamuru kuwa kesi zote zinazowahusu raia ambazo zilikuwa zikisikilizwa katika mahakama za kijeshi zisitishwe mara moja na kuhamishiwa katika mahakama za kawaida.
Uamuzi huo umetolewa na jopo la majaji saba, likiongozwa na Jaji Mkuu Alfonse Owing Dollo, ambao...
Dkt. Willbroad Slaa tayari amefikishwa kwenye chumba cha Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam kwa ajili ya kusikiliza maombi yake aliyowasilisha Mahakamani hapo.
Soma, Pia:
Dkt. Slaa akosa dhamana, kuendelea kusota rumande hadi Januari 23, Kesi ya kusambaza taarifa za...
Nimekuwa mhanga wa kutafsiriwa Mihutasari ya mashitaka iliyoandikwa Kwa lugha ya Kingereza.Mara nyingi Huwa najiuliza maana ya hii kitu Huwa ni Nini...Kwa nini isiandikwe Kwa kiswahili kama ilivyosikilizwa Mahakamani...au lugha ya maandishi ya mahakama ni kingereza hata kama asilimia 99 ya...
Habari za jioni waungwana
Kabla sijafanya maamuzi haya, naomba kupata ushauri kutoka kwenu.
Nataka siku moja niingie mahakamani, hasa mahakama kubwa, nisikilize kesi na shughuli nyinginezo za mahakama.
Nimeona niulize kama inawezekana mtu yoyote kwenda kusikiliza kesi, je kuna taratibu za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.