kusikitisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    Jana Mimba kapewa Namungo lakini cha Kushangaza na Kusikitisha wanaoumia nayo na Kuitamani ni Watu wengine wa Kigamboni

    Basi kama na nyie pia mnaitaka Mimba aliyopewa Namungo jana vuteni subira mtakuja kupewa / kujazwa 8/3/2025 Ok?
  2. Jumanne Mwita

    Habari ya kusikitisha: Gari la ‘mafao’ lilivyokatisha uhai wa mwalimu mstaafu na mwanawe

    Muktasari: Alistaafu utumishi wa umma Oktoba 2024, akapata mafao yake na kuamua kwenda jijini Dar es Salaam kununua gari. Hakufika nyumbani akapoteza maisha ajalini akiwa na mwanawe wa mwisho na rafiki yake. Watu watatu wamefariki dunia baada ya gari walilokuwa wakisafiria aina ya Toyota Rav4...
  3. Magical power

    Mchoro unaonyesha simulizi ya Kusikitisha ya Jamaa mmoja aliyekuwa anafahamika kwa Jina La John Jones

    Mchoro unaonyesha simulizi ya Kusikitisha ya Jamaa mmoja aliyekuwa anafahamika kwa Jina La John Jones, ambaye alikwama kichwa chini miguu Juu ndani ya pango kwa saa 28 kabla ya kufariki dunia. Alikwama mahali ambapo hakuweza kutoka alikuwa hawezi kwenda mbele wala kurudi nyuma. Baada ya...
  4. M

    KERO Huduma ndani ya Treni za SGR zinasikitisha sana

    Habari zenu wana bodi ya Jamii Forum, Napenda kuwajulisha kwamba nimeipanda SGR mara tatu na mara zote napanda mabehewa ya Business Class. Hiyo treni ni nzuri kwa macho lkn kwa huduma ni sijapendezewa nazo sana katika maeneo yafuatayo: 1. Wao wametoa maelekezo kwamba abiria wa SGR haruhusiwi...
  5. Ngufumu

    Kisa cha kusikitisha Kuhusu kujifungulia Nyumbani

    Je wajua 37% ya wanawake kujifungulia Nyumbani Nchini Tanzania? Anyway tuendelee Katika kijiji kidogo huko Pwani, Tanzania, aliishi kijana mmoja mdogo aitwaye Kaanayi, dereva bodaboda mwenye juhudi na upendo mwingi kwa mpenzi wake mjamzito, Ngaremu. Usiku mmoja, Ngaremu alianza kupata uchungu...
  6. KijanaHai

    SoC04 Hadithi ya kusikitisha na kufurahisha ya vijana wa Tanzania: Kutoka vijana walalamikaji mpaka watatuaji

    Hadithi ya kuhuzunisha Changamoto Za Vijana Tatizo la ajira kwa vijana ni kilio kilichokosa mfariji wa kudumu. Japo kwa Afrika kilio cha ajira machozi yake ni damu Tanzania Vijana wanaongezeka na tatizo linaendela kukua uku wazazi wengi ambao walifurahia ujio wa watotot wao kwa kuwapa majina...
  7. Escrowseal1

    Mchango wa Ester Matiko Bungeni na Reaction ya Serikali na kiongozi wa Bunge inaumiza na kusononesha

    Preamble : jamaa mmoja ughaibuni alikamatwa na polisi akisingiziwa na mkewe kuwa kampiga. Pamoja na kusingiziwa polisi na mwendesha mashtaka walihakikisha anapelekwa mahakamani japo hakuna ushahidi. Wakati aki deal na polisi kuhusu kesi walimwambia kuwa hata kama hakuna ushahidi ni lazima...
  8. P

    University life, kumbukumbu za kusikitisha na kufurahisha

    Wadau huko vyuoni Watoto wa kike hupitia sana, hebu niwachanue from my experience. 1. Nafanyiwa shopping na wazazi kuanzia viatu, nguo nk. Picha linaanza nimetoka kijijini kuja Dsm, full kienyeji, nikabahatika kupewa room main campus,weeh hao slay Queen nilipata huko, wakaanza kunicheka, viatu...
  9. ward41

    Ukubwa wa Singapore ni kama Wilaya ya Kigamboni tu lakini ina uchumi mkubwa sana

    Ni jambo LA kusimitisha Sana kuona nchi ndogo kama Singapore ikiwa na uchumi mkubwa kuliko taifa lolote ndani ya bara LA Africa Ukubwa wa Singapore ni kama tu wilaya ya kigamboni. Ina raia karibia million Sita Uchumi wake ni gdp karibia 500 billion usd. Kwanini tunazidiwa na nchi ndogo kiasi...
  10. Mr Sir1

    Wasafi FM mmetia aibu leo katika kipindi cha Jana na Leo

    Japo kuna baadhi watatetea kuwa kina Putin hawatumii kiingereza lakini ni fedheha kubwa mno kwa msomi ambae kasoma kwa kutumia kiingereza akashindwa kufanya mazungumzo yenye tija kwa lugha hiyo. Leo kwenye kipindi cha Jana na Leo cha Wasafi Fm watangazaji wote watatu wameshindwa kuwahoji kina...
  11. Lamzettttt

    Ukweli wenye kusikitisha

    Wanawake wamefanya kila kitu ili kuvutia macho ya wanaume... Wengine kwa waume zao, wengine kwa kila mtu. Makeup, kuchonga mwili, nguo fupi na tumbo wazi, kifua nje nje, urembo na cosmetics, kujitongozesha na kujipendekeza. KISHA NINI? Jicho la mwanaume bado linatafuta zaidi! Na linatizama...
  12. Analogia Malenga

    Kigoma: Shule ya Mvinza Kagerankanda haina Madarasa na Madawati. Waandikia Majivu

    Shule ya Msingi Muvinza iliyopo Kata ya Kagerankanda, Wilaya Kasulu Mkoani Kigoma ina changamoto ya upungufu mkubwa wa madarasa na madawati hali nayowafanya wanafunzi wengi kusoma nje na wengine kusoma wakiwa wamekaa chini katika madarasa machache yaliyopo. Wanafunzi ambao wameanza elimu ya...
  13. Papaa Mobimba

    NADHARIA Kevin Carter alijiua baada picha ya kusikitisha aliyompiga mtoto akiwindwa na Tai kumpatia tuzo ya Picha bora (Pulitzer Prize)

    Kevin Carter alikuwa ni mpiga picha, sasa katika kazi zake alifanikiwa kufika Sudan na alikuta eneo fulani nchini Sudan likikabiliwa na njaa kali sana. Wakati anaendelea kuchukua matukio katika picha, alikutana na mtoto dhoofu mwenye utapiamlo aliyekuwa akikabiliwa na njaa kali pamoja na kiu...
  14. Glenn

    Mikasa ya kusikitisha ya rafiki zangu iliyowahi kunisikitisha sana

    Wakuu sana pokeeni salamu zangu. Naomba leo nisimulie visa viwili vya kusikitisha ambavyo niliwahi kushirikishwa na rafiki zangu kwa nyakati tofauti. KISA CHA KWANZA: Huyu ni rafiki yangu kipenzi sana, na naomba nimpe jina Tonia (jina sio halisi) Tonia nilikutana naye katika mazingira yangu...
  15. N

    Video ya Kusikitisha: Kiwanja cha wazi cha michezo chauzwa, raia wamlilia Hayati Magufuli

    Naam ama kwa hakika watu wanalamba asali aisee, wanakula kwa urefu wa kamba zao...ukiwaskia wahusika sasa kwenye majukwaa. "VIJANA CHEZENI MICHEZO ILI KUJENGA AFYA BORA...BADALA YA KUJIUNGA NA VIKUNDI VYA UHALIFU TUMIENI MUDA HUO KUCHEZA MICHEZO, WAZAZI WARUHUSUNI WATOTO WENU WACHEZE MICHEZO...
  16. Jumbe Brown

    Ramadhan Ng'anzi mwekezaji aliyefanyiwa urasimu wa kusikitisha

    Ramadhan Mlanzi mwekezaji wa kiwanda cha Raddy Fiber aliyekutumia na urasimu kwa miaka 6 hatimaye afanikisha uwekezaji huo. Kwa ukali mh.Rais SSH amewakumbusha watendaji kuachana na mawazo ya kale ambayo yanalirudisha nyuma taifa letu pendwa!! Kongole kwake mwekezaji huyu kwa kututoa...
  17. BAK

    Tanzania kuwa kama Zimbabwe kukataa kusign hii UN convention against torture ni jambo la kusikitisha na kushangaza sana

    WHY HASN’T ZIMBABWE ADOPTED THE UN CONVENTION AGAINST TORTURE? – CONSTITUTION WATCH 6 / 2019 By Veritas28 June 2019Analysis and Comment, Democracy, Human Rights, Legislation 2 Introduction 26th June was the International Day in Support of Torture Victims. Yet another 26th June has come and...
  18. B

    TANZIA Patrick Mfugale wa TANROADS afariki dunia Jijini Dodoma

    Patrick Aron Nipilima Mfugale mhandisi tajwa nchini Tanzania na alikuwa mtendaji mkuu wa Mamlaka ya barabara nchini Tanzania TANROADS. Injinia Patrick A. N. Mfugale RIP ===== Mtendaji Mkuu wa Tanroads, Injinia Mfugale amefariki Jijini Dodoma. Mfugale jana aliondoka na ndege akiwa na...
Back
Top Bottom