kusimama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Ni wakati wa Serikali na TFF kusimama na Simba kipindi hiki.

    Wadau wa Michezo na Watanzania wote kwa ujumla,kama mlivyosikia ya kuwa uwanja wa Mkapa umefungiwa na CAF na timu yetu ya Simba hivi karibuni ina mechi ya Robo fainali ya mashindano ya CAF,kama Taifa,tunahitaji kuona serikali ikisimama na Simba kupigania maslahi ya Simba.Tarehe...
  2. Eli Cohen

    Watuamiaji wengi hapa bongo wa viagra wanadhani kuwa itawasaidia kuchelewa kumwaga na kuimarisha munkali lakini inaboresha uwezo wa mtalimbo kusimama

    Unapaswa kujua kwamba Viagra haiongezei libido au kushughulikia sababu za kisaikolojia zinazokusababishia uwezo mdogo wa kudinda. Viagra (sildenafil) haikufanyi "udumu zaidi" moja kwa moja kwa maana ya kuchelewesha kumwaga au kuongeza muda wa kujamiiana. Kazi yake ya msingi ni kuwasaidia...
  3. Upekuzi101

    TRC na TANESCO kuweni makini na SGR, iko siku itagoma kusimama

    Sitaki kusema natabiri ila napenda kuwatadharisha shirika la reli wawe makini na SGR, hayo makosa madogo madogo ya hii train kusimama simama bila kuelewa sababu za msingi, mara wakati mwingine utasikia umeme umekatika, kuweni makini ipo siku hii train itakataa kusimama, sijui kitakachotokea hapo...
  4. GANJIBHAAI

    Askari wa pale Posta mjini achoka kusimama baada ya miaka mingi, aamua kukaa 2025

    Chanzo Global Tv Online 🤣🤣🤣🤣
  5. F

    Tunamhitaji Mbowe, Zitto, Lipumba na wapinzani wengine wote kusimama imara kwa umoja kuna mambo hayaendi sawa nchi hii

    Sisi ndio tutakaoteseka kama mambo yataendelea kama yanavyoendelea sasa hapa nchini. Kwa kweli tumerudi nyuma mno kwenye masuala ya uongozi na usimamizi wa utendaji wa watumishi wa serikali na rasilimali zetu. Huu ndio wakati muafaka sana kwa viongozi wa upinzani kuungana na kuwa sauti moja...
  6. Bob Manson

    Makonda wa mabasi ya mikoani, kwanini mnahatarisha maisha yenu kwa kusimama karibu na kioo cha gari?

    Imekuwa kawaida kwa Makonda wa mabasi ya safari za mbali kukaa au kusimama pembezoni mwa kioo cha mbele, wana nin'giniza sura zao bila kuzingatia usalama wao. Dereva pamoja na abiria ni lazima wafunge mikanda, je Makonda nao wanachukua tahadhari gani katika kuzingatia usalama wao wakati wa...
  7. G

    Najua kila mtu ana fikra zake ila tukiamua kusimama na facts mwanaume anae mwaga oili kila siku, Mshindo moja unatosha

    Najua kila mtu ana opinion yake ila tukiamua kusimama na facts wanaume hasa wazinzi na wale wakujichua wanaomwaga oili kila siku, Mshindo moja unatosha. Wanaostahili kupiga 2, 3 na kuendelea ni wale ambao hawamwagi kila siku, ni kundi la wanaume walio bize na mishe, wanosafiri na hawana...
  8. Bams

    LGE2024 Uchaguzi Serikali za Mitaa, hongereni viongozi wa Dini kwa kusimama katika Imani

    Toka mchakato wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa ulipoanza, tumeshuhudia mambo mengi ya hovyo yakifanywa na TAMISEMI, chini ya Waziri Mchengerwa, kuanzia kutunga kanuni mbaya za kusimamia uchaguzi, kama ile ya kuwalinda wasimamizi wa uchaguzi wasishtakiwe wanapofanya makosa hata ya kijinai wakati...
  9. PendoLyimo

    LGE2024 Amos Makalla: Mitaa 59 Ilala kusimama bila Wapinzani

    Kwa mujibu wa Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi CCM Amos Makalla amesema kati ya mitaa 159 ya Wilaya ya Ilala, Jumla ya Mitaa 59 hakuna mpinzani hivyo wagombea wa CCM watapigiwa kura ya ndio na hapana wenyewe. Makalla ameyasema hayo wakati wa mkutano wa hadhara wa kampeni...
  10. N

    LGE2024 Padri Kitima ashukia serikali kwa kuengua wagombea kwenye Uchaguzi wa Serikali Za Mitaa. Asema uonevu ulianza rasmi mwaka 2016!

    Katibu Mkuu wa TEC Padri ametoa rai kwa mamlaka za juu kuacha kuigilia mamlaka za chini hususani katika mchakato wa kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa na Vijiji. Amesema katika Chaguzi za hivi karibuni kumeibuka mtindo wa kuwanyima haki baadhi ya wagombea hasa wa upinzani kutokana na...
  11. Vhagar

    Unajijua hujiwezi kusimama pambana upate siti kwenye daladala, kupishwa ukae si lazima

    Hello... Jijini hapa mihangiko mingi. Wengine wamwaga zege.. Jioni mtu yuko hoi. Anaamka usiku anarudi usiku muda hautoshi. Huo muda wa kwenye daladala wakati wa kusafiri. Ndio muda wengine wakamaria wanahangaika wanageuka na gari kwa ghalama ya ziada ili wapate muda watengeneze mikeka...
  12. T

    Kuanguka na kusimama kwa safari ya uongozi kwa wanawake wenye ulemavu waliofanikiwa Zanzinzibar

    Msanii maarufu wa kimataifa Stevie Wonder mwimbaji na mwandishi wa nyimbo kutoka Nchini Marekani mwenye ulemavu wa macho ambaye pia ni mjumbe wa amani wa Umoja wa Mataifa, ameweza kusikika akisema."Mtu kuwa na matatizo ya kuona haina maana kwamba hawezi kuona matatizo tunayopaswa kuyatatua...
  13. Magical power

    Kusimama kunachosha kwakweli😄

    Kusimama kunachosha kwakweli😄
  14. Tlaatlaah

    Hongera Waandishi wa Habari kwa Kukataa Kuyumbishwa na Kusimamia Misingi ya Kazi Yenu Dhidi ya Wenye Nia za Kisiasa

    Infact, Mnafanya kazi nzuri sana na inaonekana dunia nzima. Kamwe msikubali kuyumbishwa wala kuzingatia matakwa ya wenye nia binafsi, bali zingatieni misingi ya taaluma yenu. Fanyeni majukumu na kazi zenu kwa uhuru, haki na usawa bila mbambamba za mzee au kijana yeyote. Mmefanya vizuri sana...
  15. L

    Gwaride la Watoto lamkosha Rais Samia mpaka kuinuka kwenye kiti na kusimama kwa tabasamu na furaha ya hali ya juu

    Ndugu zangu Watanzania, Tanzania na watanzania tuna kila sababu ya kujivunia utanzania wetu na utaifa wetu,tuna kila sababu ya kujiona fahari ya kuzaliwa Tanzania,tuna kila sababu ya kuona Taifa letu litaendelea kuwa salama na kisiwa cha Amani na kupigiwa mfano Barani Afrika na Duniani Kwote...
  16. Kyambamasimbi

    DOKEZO TANROAD Morogoro, Zebra ya Msamvu imefutika madereva wanatumia uzoefu kusimama Ili watu wavuke na mamlaka zimekaa kimya mpaka watu wagongwe?

    Ni mwaka sasa tangu kivuko Cha waenda kwa mguu kifutike eneo na msamvu stand ya Dodoma, madereva wa barabara kubwa kama hii wanatumia uzoefu kusimama kuwa hapa Kuna kivuko. Mamlaka zipo na zimekaa kimya au mpaka watu wagongwe? Tusiishi kwa matukio tubadilike.
  17. Roving Journalist

    DC Sengerema afafanua taarifa ya kivuko kimoja kusimama kutoa huduma Kigongo - Busisi

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kueleza kuwa kuna changamoto kubwa ya foleni eneo la Busisi kwa Watu wanaohitaji kuvumia kivuko kuvuka tangu usiku wa kuamkia jana Agosti 29, 2024, akidai Kivuko hakifanyi kazi, upande wa Serikali umeeleza kinachoendelea. Mwanachama huyo alidai hali hiyo...
  18. Morning_star

    Hivi ndivyo viongozi tuliowaamini wanavyotafuna nchi juu ya migongo yetu. Sijui lini tutaamua kusimama!!

    Sijui huu ulofa tuliutoa wapi?
  19. Ikaria

    Je, GenZ wa Tanzania wanaweza kusimama kidete kama wenzao wa Kenya?

    Bila shaka ni ukweli usiopingika kuwa maandamano dhidi ya serikali ni ya kwanza ya aina yake nchini Kenya. Kwa nini? Maandamano ya kupinga mswada wa Sheria ya Fedha wa mwaka 2024 hayakuongozwa na Mwanasiasa yoyote Wala Chama chochote cha kisiasa; bali yaliratibiwa na vijana hasa wa kizazi Z kwa...
  20. R

    Msaada: Bata hawawezi kusimama wanatambaa, wana miezi 2

    Ni tatizo gani na matibau yake ni yapi. Tafadhali mwenye fununu
Back
Top Bottom