kusimamishwa kazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waziri Ndejembi aagiza kusimamishwa kazi kwa afisa ardhi Handeni kwa kuwa chanzo cha migogoro ya ardhi

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi, ameagiza kusimamishwa kazi kwa Afisa Ardhi wa Halmashauri ya Mji wa Handeni kutokana na kuwa chanzo cha migogoro ya ardhi katika eneo hilo. Ametoa agizo hilo Februari 20, 2025, wakati wa ziara ya Waziri Ndejembi katika...
  2. Ninapitia msongo mkali wa mawazo baada ya kusimamishwa kazi kisa vyeti feki. Naomba ushauri niweze kujikwamua

    Habari wana Jf kwa ujumla. Sina muda mrefu tangu nijiunge na jumuia hii chini ya kaka Max. Ni hivi, napitia msongo mkali sana wa mawazo yaani nikisema ni mkali namaanisha. First of all nilikuwa muajiriwa serikalini na likapita suala la vyeti feki hapo nilikuwa natumia cheti cha mtu na kazi...
  3. Uvinza: Halmashauri yachukua hatua kupitia video iliyosambaa lakini yashangazwa na aliyechukua video ikidai ameleta taharuki

    Halmashauri ya wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma imechukua hatua ya kumpumzisha daktari wa zamu ili kupisha uchunguzi baada video ya Mwanamke anaedaiwa kujifungua na kukosa huduma kwa zaidi ya saa moja katika Kituo cha Afya Kata ya Basanza kusambaa mtandaoni. Halmashauri baada ya kufatilia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…