Mitaani huku tunapoishi mtakuwa mashahidi kuna pindi inatokea unaelewana na jinsia tofauti ya yako KIURAFIKI tu..
Kwa mfano kuna mmama mkubwa anauzwa grocery na wewe ni mteja ukifika mnatia stori kibao sasa ghafla anaanza kugombana na mumewe sababu anazohadithia huyu mmama wa grocery ni kwamba...