Habari zenu ndugu?
Poleni na mihangako ya kila siku ya Maisha, natumai mu wazima wa afya.
Kama heading inavyosema, nataka kufaham kama ulishawahi kutana na situation kama hio na ulifanyaje kukabiliana na hali kama hio? Maana wanawake siku hizi wamekua ni wenye akili nyingi na ujanja mwingi...