kusini

Countdown at Kusini (also known as Cool Red) is a 1976 American-Nigerian action/drama film written by Howard Friedlander and Ed Spielman, and directed by Ossie Davis.

View More On Wikipedia.org
  1. Tetesi: Rais Mstaafu Jakaya Kikwete amelazimika kukatisha ziara yake nchini Korea Kusini ili kuwahi msiba wa Membe

    Nimepenyezewa taarifa kuwa Rais mstaafu Jakaya Kikwete amelazimika kukatisha ziara yake Korea Kusini ili kuja kuhudhuria msiba wa aliyekuwa Waziri wake wa Mambo ya Nje ndugu Bernard Membe aliyefariki leo asubuhi. Iliwahi kuvumishwa wawili hawa kuwa wana undugu lakini Rais Kikwete alikanusha na...
  2. Marekani yaishutumu Afrika Kusini kuipa Urusi silaha kwa siri

    Balozi wa Marekani Nchini Afrika Kusini, Reuben Brigety ametoa shutuma hizo kwa kudai silaha hizo zilipakiwa kwenye meli ya mizigo ya Urusi iliyotia nanga katika Kambi ya Jeshi la Majini Jijini Cape Town, Desemba 2022. Amesema ana uhakika na anachokisema na kudai hilo jambo halikubaliki kwa...
  3. S

    Korea Kusini: Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete atembelea Ubalozi wa Tanzania

    Mheshimiwa Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete leo ametembelea Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jijini Seoul, Korea Kusini na kuzungumza na wafanyakazi. Akiwa na mwenyeji wake Balozi Togolani Mavura, amewahimiza kuendelea kuchapa kazi kwa bidii na kuunga mkono kazi kubwa...
  4. Afrika Kusini yadaiwa kuisaidia Silaha Urusi kwenye vita ya Ukraine

    Balozi wa Marekani nchini Afrika Kusini ameishutumu nchi hiyo kwa kusambaza silaha kwa Urusi licha ya kudai kutoegemea upande wowote katika vita vya Ukraine. Reuben Brigety alidai kuwa meli ya Urusi ilisheheni risasi na silaha mjini Cape Town Desemba mwaka jana. Ofisi ya Rais Cyril Ramaphosa...
  5. Katika ukanda wote wa kusini sijaona wa kuwafikia wanyakyusa katika elimu na power, They have the southern crown!

    Naweka facts kwa jinsi zilivyo based on demographics, so hakuna ukabila hapa bali ni demographical facts. Lets just admit kina Mwaisa they have the southern crown, Southern namaanisha mikoa ya kusini Mbeya, Songwe, Rukwa, Iringa. Njombe, Ruvuma, Mtwara, Lindi, Nawakumbusha tena Power...
  6. M

    Tuliwasaidia watu wa Afrika kusini ili wapate uhuru. Ukweli ni kuwa hawako huru huku sisi tukibakia kuwa masikini bila msaada wowote

    Nenda Afrika ya kusini waafrika wanataabika na kuteseka maana hawapo huru kiuchumi bali wapo huru kisiasa tu. Wana uhuru wa kuzurula na kuropoka tu. Uhuru wa kiuchumi hawana. Wengi ni masikini na wanataabika. Sisi watanzania tulipoteza mali zetu badala ya kujikita kujiinua kiuchumi.
  7. Kwanini Mwanza vyuo havijengwi kama Kusini?

    Mwanza ndio jiji kuu la kanda ya ziwa, ukanda wenye Watanzania wengi sana walioelimika lakini kwanini serikali haitaki kujenga vyuo Mwanza? Mwanza imefikia hatua kiasi hata chuo kinachoonekana kikubwa ni SAUT maana hakuna vyuo vya serikali. Ukicheki kusini jiji kama Mbeya kuna Udsm chuo cha...
  8. Afrika Kusini: Watu 10 wa Familia Moja Wauawa kwa Risasi

    Tukio limetokea Mji wa Pietermaritzburg katika Jimbo la KwaZulu-Natal, kati ya waliouawa Wanawake ni saba na Wanaume watatu. Ripoti ya awali ya Polisi imeeleza watu wenye silaha wasiojulikana walivamia na kufanya mashambulizi katika familia hiyo ambapo mshukiwa mmoja ameuawa eneo la tukio ...
  9. Tamko la chama cha upinzani Afrika Kusini kuhusu kukamatwa kwa Thabo Bester nchini Tanzania

    Chama Kikuu cha Upinzani nchini Afrika Kusini EFF kimepokea kwa mikono miwili hatua ya kukamatwa kwa Raia watatu wa Afrika Kusini ambao mmoja wa ni Thabo Bester maarufu kwa jina la ‘Mbakaji wa Facebook’, pamoja na Mpenzi wake Dr. Nandipa Magumana na mtu mwingine mmoja aliyetajwa kwa jina la...
  10. Tanzania kuleta faru kutoka Afrika Kusini baada ya kutokomea kwa ujangili

    Katika jitihada za kuvutia watalii, hifadhi ya Mikumi ina mpango wa kurejesha faru ambao walotokomezwa na ujangili miaka ya 1980 na 90. Faru ambao wako kwenye kundi la wanyama watano wakubwa zaidi wanakosekana Mikumi. Faru wawili wa mwisho walionekana mikumi zaidi ya miaka 30 iliyopita upoteaji...
  11. J

    Mkuu wa Wilaya Jokate azuru Afrika Kusini kutangaza zao la mkonge na bidhaa zake pamoja na masuala ya uhifadhi wa wanyamapori na mazingira

    DC JOKATE AZURU AFRIKA YA KUSINI KUTANGAZA ZAO LA MKONGE NA BIDHAA ZAKE PAMOJA NA MASUALA YA UHIFADHI WA WANYAMAPORI NA MAZINGIRA - 28-03-2023 Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mhe Jokate Mwegelo amezuru Afrika Kusini wiki hii kutangaza umuhimu wa Vijana wa Afrika kushiriki katika Ujenzi wa Afrika...
  12. Polisi yatangaza kuwakamata watuhumiwa 87 Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini

    Jeshi la Polisi mikoa ya Nyanda za Juu Kusini yaani Njombe, Mbeya na Iringa, kwa kipindi cha kuanzia Machi 12, 2023 hadi Machi 23, 2023 limefanikiwa kukamata watuhumiwa 87 wa matukio mbalimbali ya uhalifu yakiwemo, unyanganyi wa kutumia silaha, kuvunja nyumba usiku na kuiba, kuvunja ofisi usiku...
  13. Julius Malema: Tutamlinda Putin dhidi ya ICC atakapowasili Afrika Kusini

    Chama cha wachache cha upinzani cha Afrika Kusini, Economic Freedom Fighters (EFF), kimesema Rais wa Urusi Vladimir Putin anakaribishwa kuzuru Pretoria licha ya hati ya kukamatwa iliyotolewa na Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) dhidi yake. Mahakama ya ICC, ambayo Afrika Kusini imetia...
  14. Afrika Kusini itatakiwa imkamate muuaji Putin na kumpeleka ICC

    Mataifa yote 127 yaliyotia mkataba na ICC yanatakiwa yamkamate pindi akitua nchini mwao, Putin amepanga kuitembelea Afrika Kusini mnamo Agosti, anasubiriwa akamatweeee..... waumini wa Putin povu ruksa Russia's President Vladimir Putin will be attending the Brics Summit in August this year, on...
  15. PICHA: Putin aliishi Tanzania 1973 hadi 1977 akiwa kama mkufunzi kwa wapigania uhuru

    Pana swala gumu kidogo, Picha ilikuwa ya 1973 lakini google wameandika Putin alimaliza chuo 1975, huenda ni maisha ya kijasusi labda chuoni ilikuwa ni zuga tu huku anaendelea na majukumu mengine. Anyway, nanyi mnaweza kutoa maoni yenu.
  16. D

    Kinachotokea Afrika Kusini na Kenya inaweza kuwa sawa na Arab Spring kwa nyingine za Afrika

    Mlipuko wa Arab Spring ilianza kama masikhara nchini Tunisia baada kijana mmoja mhitimu wa Chuo Kikuu aliyekosa kazi na kuamua kuuza matunda kwa kutumia toroli mitaani. Lakini alipokatiza mbele ya ofisi za Serikali kuuza matunda alizuiwa na kuadhibiwa kuwa anachafua mwonekano wa mtaa huo. Hasira...
  17. Rais Samia yupo Afrika Kusini, kapotezea kumbukizi ya Hayati Magufuli?

    Kesho Machi 17 ni miaka miwili ya kumbukizi ya hayati Magufuli. Rais Samia yupo nje ya nchi, je amekwepa kwa makusudi au bahati mbaya kwenye kumbukizi ya mtangulizi wake? Ikumbukwe mwaka jana waliadhimisha Rais Samia pamoja na Kaguta Museveni huko Chato. Mwaka huu kulikoni?
  18. Rais Samia atunukiwa nishani ya heshima nchini Afrika Kusini

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu ametunukiwa nishani ya Heshima ya nchi ya Afrika ya Kusini (National order of South Africa) na Rais wa nchi hiyo Cyril Ramaphosa katika kutambua nafasi ya Tanzania katika kuisaidia Afrika Kusini kupambana na ubaguzi wa rangi...
  19. Tetesi: Lowassa anapigania uhai wake nchini Afrika Kusini

    Hali ya kiafya ya Waziri Mkuu mstaafu, Edward Ngoyai Lowassa, inaelezwa kuwa ya kutoridhisha katika siku za karibuni na kwamba sasa “anapigania uhai wake”, Gazeti la Dunia linaweza kuthibitisha. Lowassa anayetarajiwa kutimiza umri wa miaka 70 Agosti 26 mwaka huu, amelazwa nchini Afrika Kusini...
  20. Rais Samia aanza ziara nchini Afrika Kusini

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Waterkloof Air Force Base Pretoria kwa ajili ya kuanza ziara rasmi ya Kiserikali nchini Afrika Kusini tarehe 15 Machi, 2023.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…