USAID is officially dead.
Elon Musk alisema USAID ni shirika la kihalifu na linapaswa kufa
Kwa taarifa hii ni wazi kwamba kauli yake imetekelezwa
Je ndugu zangu nini itakuwa athari kwa Afrika hususani Tanzania aliyekuwa anaongoza kwa kupokea mafungu huko USAID...