Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) nchini Kenya haitalazimika tena kupeperusha moja kwa moja matokeo ya vituo vya kupigia kura baada ya Bunge kupitisha Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Uchaguzi, 2024.
Muswada huo, uliopitishwa na Bunge la Taifa Oktoba 22, umeondoa kipengele cha kisheria...