Habarini wakuu kama title hapo juu inavojieleza....
nimepewa mkopo kwa mwaka wa masomo 2024/2025 lakini kuna mambo hayajakaa sawa hivyo sioni kama naweza kusoma this year hivyo basi naombeni msaada kwa anayejua utaratibu wa kusitisha mkopo wa elimu ya juu (HESLB)