Mimi ni Mwanafunzi wa degree, nipo Mwaka wa Pili katika chuo Cha Abdurahman Al-Sumait kilichoko Zanzibar.
Mimi na wenzangu tulipata ufadhili wa masomo (Scholarship) kutoka Taasisi ya Direct Aid Society ambayo zamani ilijulikana kama African Muslim Agency (AMA) ambayo ndio wamiliki wa Chuo cha...
Kwa elimu yetu ya hapa Tanzania soma vyuo ambavyo vina network kubwa ya kukuongezea uwezekano wa kupanua goli la oppurtunities (Ajira, Promotion maofisini, Scholarships, Grants, n.k) hata kama huna connection.
haya mambo ya kuwa nondo ,kuiva, kujisifu chuo kina elimu ngumu ni hayana uzito...
Hbr za wakti huu wadau,naomb mnielimishe na kunsaidia kweny hli,Je kuna tofaut yeyte ya mtu anaehitimu degree chuo cha taasisi na chuo kikuu?
Yani mfano Anaehtimu Degree kwa GPA kubwa UDSM na Anaehtmu kwa GPA ya juu TIA,pengne kuna faida ipi ya ziada inapatikana kwa kuhtimu chuo...
Nia yangu kubwa ni kwenda kusoma MASTERS nje kwa njia yeyote ile ambayo haihusishi matumizi ya njia haramu yoyote, Sasa nimeongea na wazazi wamekubali kuweka nyumba dhamana nipate mkopo bank wa milioni 6 kama kigezo moja wapo kupata VISA ya kuingia baadhi ya nchi kama umepata partial...
Habari Ndugu wana jamii forum
Mimi ni kijana niliye hitimu kidato cha sita mwaka 2024 combination ya HGL nikiwa na ufaulu wa div 1.4
ninaomba ushauri juu ya uchaguzi wa kozi kati ya
1. Political science and public administration
2.law
3. Law enforcement
4. Social work
Zinahusu nini kiundani...
Habari wadau.
Wazazi wengi tunasomesha watoto kwa kujibana, Tena shule za gharama. Tunakopa huku na huku tuwalipie ada. Nawakumbusha tu tukumbuke na kuwaandalia mitaji ya biashara wakimaliza kusoma.
Graduates wengi ambao wazazi wao hawajawapa mitaji wamekuwa wazururaji tu mitaani, walevi wenye...
Anachokifanya Sadio Mane kwa mkewe kinaweza kumgharimu sana. Maana dunia hii ni tambara bovu, linaweza kuchanika mahala asipotarajia.
Eti kamruhusu mkewe aende chuo akaendelee na masomo ili hali wamefunga ndoa hivi majuzi tu. Na mke hana mimba wala nini.
.
Vyuoni kuna wakware waliopinda...
Katibu Mtendaji wa Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU), Prof. Charles Kihampa
Baada ya kuibuka kwa malalamiko kadhaa mitandaoni kuhusu udahili wa Wanafunzi wanaofanya maombi ya kujiunga na Vyuo Vikuu wakati huu ambao dirisha la udahili limefunguliwa, Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) imetoa...
Uwe na IQ ya kutosha maana Harvard si pa mchezo kama udsm...Hapana.
Pale Harvard Kuna wakati IQ yako haifai chochote. Haijalishi una IQ ya 125, 135, 145, 155, 165, au 175. Vyuo vikuu vya wasomi vinataka kusajili wanafunzi walio na rekodi za mambo ambazo zinaonyesha kuwa wao ni aina ya watu...
Kundi la Wanawake hao wanaopinga uamuzi wa Serikali kuwazuia Wanawake kutosoma Chuo Kikuu wameingia matatizoni baada ya video zilizosambaa mitandaoni zinaonesha waandamanaji wakijikinga na wengine kukimbia kukwepa mkono wa sheria katika Mji wa Herat.
Wanawake hao walikuwa wakiandamana huku...
Marekani imeeleza kuwa kutakuwa na gharama ikiwa hakutakuwa na mabadiliko kuhusu maamuzi hayo yanayofanywa Nchini Afghanistan.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Antony Blinken amesema Serikali ya Taliban haitaweza kuboresha uhusiano na mataifa mengine Duniani ikiwa itaendelea kuwanyima...
Nimesoma combination ya PCB nimemaliza form six mwaka huu na nmefaulu kwa division I-8 lakini sijafanikiwa kwenda Chuo kwasababu za kiuchumi naomba msaada Je ni course Gan za afya tofauti na MD ambazo naeza nikasoma kwa mwakani zenye ajira lakini pia ambao ni rahisi kujiajili??
Naombeni msaada...
Wakuu habari.
Kuna mtu kaniomba ushauri hapa course za kusoma kwa vyuo vikuu vilivyo hapo Dar.
Yeye ni mhitimu wa kidato cha sita mchepuo wa HKL, ni course gani asome yenye tija wakuu.
Kujipanga mapema ni kheei zaidi maana wengi hukosea kwa kukurupuka pale wanaporuhusiwa kuomba.
Ushauri wenu...
Habari wana MMU?
Nilikuwa na rafiki yangu tulisoma pamoja chuo, wakati tupo chuo kiukweli hali yake ya maisha hata kipindi tupo chuo ilikuwa ni ngumu sana na mimi ilikuwa niyakawaida tu japo wote tulikuwa na maisha magumu ili nilijitahidi sana kusaidiana nae.
Kutokana na maisha tuliyokuwa nayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.