Wakuu this is my story.
Jamii tunayoishi bado haijafunguka na kuifungua akili mpaka mwisho wake. Kuna watu mpaka leo hii wanazichukulia powah course za online.
Mimi ni graduate wa shahada. Nakumbuka mwanzo nilitafuta Kazi Sana ila sikufanikiwa kupata iwe serikalini au private.
Baada ya hapo...
Wakuu katika kuongeza thamani .
Nimefikiria nisome short course ya office management.
Sasa wadau nauliza je nitaweza kupat Website gani ambayo nitasoma bure na kupata Cheti naomba ufafanuzi wakuu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.