Wakuu this is my story.
Jamii tunayoishi bado haijafunguka na kuifungua akili mpaka mwisho wake. Kuna watu mpaka leo hii wanazichukulia powah course za online.
Mimi ni graduate wa shahada. Nakumbuka mwanzo nilitafuta Kazi Sana ila sikufanikiwa kupata iwe serikalini au private.
Baada ya hapo...