kusoma vitabu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    Namna ya kujijengea uwezo wa kusoma vitabu

    Wakuu kwa mwenye uelewa naomba nijuzwe namna ninavyoweza kujijengea uwezo wa kusoma vitabu kwa lengo la kupata maarifa tofauti tofauti. Kama inavyofahamika wengi katika watu ni wavivu wa kusoma habari za maana zenye kujenga uelewa.
  2. Mi mi

    Season inayomhusu Deng Xiaoping inaelezea alipokea China katika mazingira mabaya sana katika historia ya nchi hiyo

    Unaweza kutazama hii Season inayo muhusu Deng Xiaoping. Inaelezea alipokea China katika mazingira gani ? ( Yalikuwa mazingira mabaya sana katika historia ya China ) Inaelezea walikabiliana na changamoto gani hasa miaka ya 70s,80s walipo amua kuibadili kabisa taswira ya nchi hasa kiuchumi. Ni...
  3. The Mongolian Savage

    Niliacha kusoma vitabu nilipofikisha miaka saba

    Yeeeerrrrreeeeh! Niliacha kusoma vitabu nilipofikisha miaka saba na sitasoma tena kitabu chochote hadi nife. Siwezi kusoma vitu vilivyoandikwa na wanaume wengine. Huo ni udhaifu. Yani dume zima unasoma vitu na mawazo yalioandikwa na wanaume wengine that is not right, fundamentally wrong and...
  4. Pule

    Ongeza maarifa Kwa kusoma vitabu

    Ukipata muda ni vyema kuongeza maarifa Kwa kusoma vitabu mbalimbali, ni muhimu vitabu vinaficha mengi mno hicho nimeweka hapo ni KIZURI sna na kitakusaidia sana kimeandikwa na Joel Arthur huyu mwandishi anajua kuandika na napenda sana kusoma vitabu vyake. Hebu na wewe jifunze hapo;
  5. Naju23

    Nakubaliana na ushauri wa Mzee Kikwete senior kuhusu utamaduni wa kusoma vitabu. Lakini...

    Ni ushauri mzuri Lakini. Library za kuazima vitabu ziko wapi? Au ile moja pale posta? Ihudumie Tanzania nzima? Wilaya Mamlaka za elimu ndizo zimetufikia hapa. Tu asoma vitabu vya fiction kwenye simu zetu, hivi vya bei mbaya tutavipata wapi. Kila wilaya mkoa wa dsm walau ingekuwa na Library...
  6. Technophilic Pool

    Nahitaji vitabu hivi nibadili maisha yangu milele

    1. Emotional Decision/Logical decision 2. Art ot being alone 3. The power of belief 4. Everything matter 5. How to sell a pen
  7. GoldDhahabu

    Unajua kwanini Wazungu wanapenda kusoma vitabu?

    Waafrika wanasoma vitabu, lakini Wazungu wana wasomaji wengi zaidi kuzidi Waafrika. Kwa Wazungu, usomaji wa vitabu ni kama sehemu ya maisha ya wengi wao. Unajua ni kwa nini? Naamini ni kwa sababu wamelelewa hivyo! Walijengewa hiyo tabia tokea wakiwa wadogo sana. 1. Wanaweza wasiwe wote...
  8. hermanthegreat

    Hivi ni kweli kusoma vitabu kunaweza kubadilisha maisha ya mtu? una ushahidi wowote?

    Wakuu habari, Kwanini watu waliowahi kufanya makubwa hawakufanikisha hayo kupitia kusoma vitabu. Unakuta mtu anasoma kitabu cha How to influence people lakini hadi anakimaliza hana influence yoyote. Mtu anaandika kitabu cha how to get rich fast afu pesa ya kuchapisha hicho kitabu amekopa...
  9. matunduizi

    Baada ya kusoma vitabu zaidi ya 300, nimegundua kumbe nilitakiwa kusoma Biblia tu

    Kwa miaka kadhaa nimesoma vitabu vya uchumi, biashara, mahusiano, saikolojia na namna ya kukabiliana na changamoto za maisha. Nimesoma vitabu vya wakina Kiyosaki, Brian Trecy, Robert Green, Ralph Waldo Emerson, Tsu Nzu, Napoleon Hill, Donald Trump, Shoga Yuval Noah Harari n.k Hii ndio...
  10. GoldDhahabu

    Jinsi ya kumjengea mwanao tabia ya kupenda kusoma vitabu

    Mwanaharakati maarufu wa Marekani, Dr. Martin Luther King Jr. alishawahi kusema, "An idle mind is the workshop of the devil!". Mtu mmoja anisaidie kutafsiri kwa Kiswahili, tafadhali!🙏 Namna pekee ya kuiepusha akili kuwa "idle" ni kwa kuifanyisha kazi nzuri, na ili akili iweze kufanya kazi nzuri...
  11. Getrude Mollel

    Hili ni moja ya tatizo kubwa kwa vijana wanaojihusisha na siasa nchini

    Huwa nafuatilia sana, kusoma na kufuatilia mijadala na hoja nyingi zitolewazo na vijana wa vyama mbalimbali vya siasa nchini. Nimeona shida kubwa sana kwa vijana wetu ambao wengi wanaonekana dhahiri wanatamani kuwa na madaraka au nafasi kubwa ndani ya serikali. Shida iliyopo ni kwamba vijana...
  12. BigTall

    Waziri atoa wito kwa jamii kuongeza juhudi katika kusoma vitabu ili kukuza maarifa

    Naibu Waziri wa Wizara ya Miundombinu na Uchukuzi, Atupele Mwakibete ameihamasisha jamii kuongeza juhudi katika kusoma vitabu ili kukuza maarifa yao. Sambasamba na hilo Mwakibete amesema usomaji wa vitabu unaisaidia jamii kupata mbinu mbalimbali za uongozi katika ngazi zote. Mwakibete...
  13. Makirita Amani

    Karibu kwenye klabu ya kusoma vitabu mtandaoni (online book club)

    Rafiki yangu mpendwa, Ukiniuliza ni kitu gani ambacho mtu yeyote akikifanya anaweza kubadili kabisa maisha yake na yakawa bora, sitafikiria mara mbili. Nitakujibu mara moja kwamba ni USOMAJI WA VITABU. Ninaamini mno kwenye usomaji wa vitabu, vimebadili mno maisha yangu na kila ambaye...
  14. The Garang

    Kwanini wadada mko hivi?

    Kwa mara nyingine tena, tunarudi kwenye jukwaa letu pendwa la MMU, Mbarikiwe nyote mnaofanya hii platform ichangamke kwa experiences mnazojumuika nasi humu, tunajifunza na kuyaepuka makosa yaliokwisha fanywa. Wadada Wadada Wadada !!!! ubavu wetu nyie kwanini mko bivi. Nimekuwa mpenzi wa kusoma...
  15. Regent

    Mkurugenzi wa TikTok ajiuzulu ilia apate muda wa kusoma vitabu

    Mkurugenzi wa kampuni ya TikTok, Zhang Yiming (miaka 38) amejiuzulu wadhifa wake huo. Zhang mwenye utajiri wa TZS Trilioni 101. Zhang amesema amechukua uamuzi huo ili apate muda mwingi zaidi kujisomea vitabu na kuota ndoto nyingine.
Back
Top Bottom