Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema wanafunzi wa shule na vyuo pia wanatakiwa kusomea nyumbani kesho tarehe 27 na keshokutwa 28, Januari 2025, kutokana na kufungwa kwa barabara nyingi za jiji la Dar es Salaam...
Kuna mtoto wa dada yangu kapata hayo matokeo FORM 4
Hataki kusikia habari za form 6, anataka kuanza safari yake ya kusomea taaluma mapema, hivyo kaamua aende chuo
Shida inakuja anapenda taaluma ya engineering ila hajui ipi aiseomee,
hofu yangu asije akaenda kusomea engineering itayompa shida...
Mara baada ya Rais Samia kutangaza kumpigia debe Professor Janabi ili kuiwakilisha Tanzania kwenye kinyang'anyiro cha ukurugenzi mkuu wa WHO kanda ya Afrika, watu wenye akili kubwa ikabidi waingie chimbo kufukua file lenye kubeba wasifu mbali mbali kumhusu Profesa Mohamed Janabi ili kuona ana...
Serikali ya Taliban nchini Afghanistan imepiga marufuku wanawake kusoma kozi za ukunga, na wanafunzi walioko vyuoni wameamriwa wasirudi masomoni, hali inayotamatisha ndoto yao ya kupata elimu hiyo.
Taarifa iliyotolewa na Shirika la Habari la BBC imesema takriban taasisi tano tofauti nchini humo...
Kwa hali ninavyona mimi!
Elimu yetu afrika iko nyuma sana na ulimwengu unavyokwenda kwa kasi!
Elimu yetu inakwenda kuwa siyo kitu cha kujivunia tena kuwa nacho maana haitakuwa na msaada kiuchumi!
Elimu yetu itakwenda kuongeza utapeli mwingi kwa watu
Elimu yetu inakwenda kuwafungia watu...
Wakuu kwema
Ni muda vijana wanaomaliza form six pcb na 1.3 hadi 1.6 kuwaza kusomea udaktari wa upasuaji wa kinywa na meno (dds) au Radiology (udaktari wa mionzi) kwani itachukua muda mrefu sana kozi hizi kujaa watu mitaani au mahospitalini
DDS kwa mfano , katika post iliyopita ya uhitaji wa...
Natarajia kuhamishia shughuli zangu za kiuchumi mjini bariadi.
Hii ni fursa kwangu kupata elimu adimu ya mambo ya kiroho pia ni sehemu ya utafiti wangu binafsi
Nitaleta mrejesho.
Unamkuta mtu anajiita daktari, au nesi, au mwalimu, lakini hana umahiri wa kazi yake. Hajui anachokifanya wala hana hamasa katika kazi yake.
Anasubiri kutafuna mshahara na kuchati WhatsApp huku watu wakimngojea.
Unawezaje ukawa mwalimu na usijue kuandika? Nimepokea barua na ripoti ya matokeo...
Ni watu wachache ambao imewabidi kazi yao wanayofanya Kwa sasa waikubali tu Kwa sababu walijikuta wamesema vyuoni na inawapa Hela na ukizingatia uchache wa ajira ila wengi Kiukweli baada ya kumaliza form 4 hawakuwa na akili kama waliyonayo Kwa sasa.
Binafsi ungenirudisha Tena form four 2012...
Hello wanachama wenzangu habari za leo,
Kijana wangu anapenda kusomea Aircraft Eng au U pilot, kwa sasa sina hakika na suala la ajira kwa hapa nyumbani na kuna mtu ameniambia hata nje ya nchi ni ngumu kupata kazi kwa sababu za kiusalama, naomba kujuzwa je, ni kweli ajira ni tatizo hapa kwetu...
Mimi ni muhitimu wa kidato cha nne mwaka jana na nilipata ufaulu ufuatao
CIV - 'D' HIST - 'C' GEO - 'C' KISW - 'B' ENGL - 'C' CHEM - 'C' BIO - 'B' B/MATH - 'D'
Ni kipi kitakuwa sahihi zaidi kwangu kusomea (haijalishi kipo advance au college)
Naombeni ushauri katika hilo
Tumeendelea kutoa masomo kwa njia ya Mtandao. Yaani Online Learning. Utaweza kujipatia mafunzo popote ulipo kupitia mfumo wetu wa kidigitali wa ufundishaji. Utaweza kuonana na walimu ana kwa ana kupitia "Video Conference". Na endapo utapata muda wa kututembelea basi utapata one-on-one Consultation.
- Wifi internet ni tatizo, vyuo kibao hata free wifi haipo na kama ipo kuipata access yake ni shughuli ama ipo slow sana, kwa vyuo vya serikali angalau ttcl nayo ni taasisi ya serikali huwa wanajitahidi kuwasambazia,
- Umeme ukikatika vyuo private ni wao wenyewe wayajitegemea kwenye mafuta...
Wanabodi,
Kiukweli kabisa mfumo dume bado ni tatizo kubwa kwa baadhi ya Watanzania wenzetu na haswa wa Kanda yetu fulani!.
Japo Rais Nyerere, Mwinyi na Mkapa, walitunukiwa PhD za heshima za honoris causa lakini hawakuitwa kwa title za Dr. Lakini Rais Jakaya Kikwete baada ya kutunukiwa aliitwa...
Kuna uzi nimetoka kuusoma humu nami wacha nikazie
Na ndivyo ilivyo hata kwenye ukoo wetu, wengi wamesomea Sheria, Uhandisi ama Udaktari.. Wachache sana wamesomea Accounting baada ya kushindwa kuchagua kozi hizo tatu.
Hata mimi nimesomea kimoja wapo na nikiri kwamba nilipata msaada mkubwa...
Mimi ni mwanafunzi nilie maliza kidato cha nne naomba kuulza ni kozi ipi nzuri ya ajira naweza kusomea na ikawa rahisi kuajiriwa au kujiajiri yani ambayo bado ina fursa nzuri za ajiraa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.