kusomea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Form 4 mwenye ndoto za kusomea IT usipoteze mda wako kwenda form 6, nimekupa ramani nzima hapa

    π™π™Šπ™π™ˆ 4 π™ˆπ™’π™€π™‰π™”π™€ π™‰π˜Ώπ™Šπ™π™Š π™•π˜Ό π™†π™π™Žπ™Šπ™ˆπ™€π˜Ό 𝙄𝙏 π™π™Žπ™„π™‹π™Šπ™π™€π™•π™€ π™ˆπ˜Ώπ˜Ό π™’π˜Όπ™†π™Š π™†π™’π™€π™‰π˜Ώπ˜Ό π™π™Šπ™π™ˆ 6, π™‰π™„π™ˆπ™€π™†π™π˜Ύπ™ƒπ™Šπ™π™€π˜Ό π™π˜Όπ™ˆπ˜Όπ™‰π™„ π™‰π™•π™„π™ˆπ˜Ό π™ƒπ˜Όπ™‹π˜Ό Muhimu; Kama una changamoto za kiuchumi ni vyema ukasome form 6 kwenye shule ya serikali uliyochaguliwa ili umalize form 6 na ujaribu bahati yako kuomba mkopo wa serikali ili usome chuo, Post hii...
  2. Paula kaenda kusomea kitu gani huko Uturuki?

    Katika pita pita zangu huko Insta, nimeona Paula Kajala yuko uturuki kimasomo. Hivi huyu form 4 si alifeligi au kaenda kusomea mambo gani huko uturuki?
  3. Ifike mahala Watanzania tuache kusomea ualimu, supply imekuwa kubwa mno kuliko demand

    Tukubaliane na hali halisi, walimu wanaosubiri ajira mtaani ni wengi mno, na ambao wako mbioni kuhitimu na ni wengi, maelfu kwa maelfu, ukijumlisha na walio mtaani wanaweza kufika makumi ya maelfu. Tusipochukua hatua hii, ipo siku idadi ya walimu itakuwa sawa na wanafunzi. Hivyo basi tujiulize...
  4. Nataka kujiunga na Upadre ila kuna ufafanuzi ambao sijaupata

    Habari za wakati huu wanajamii. Moja kwa moja kwenye swali langu la msingi. Nahitaji kujiunga na Updare wa Kanisa Katoliki, ila kuna baadhi ya maswali sijaweza kupata ufafanuzi wake. 1. Ni umri gani unakuwa mwisho wa kujiunga na upadre? 2. Je, ni elimu kiwango gani kinakubalika ili kuendelea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…