mama watoto anakujia na form ya kujiunga shule private,
Chap chap jicho linaelekea kuangalia gharama, ada ina comma mbili, presha ishapanda
unashusha pumzi pengine labda anaweza kusaidia
unamuuliza ana kiasi gani alipie muhula huu wewe ulipie unaofata, anakujibu baba yake si upo,
Unamjibu...