kusuasua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Watchman

    Pre GE2025 Kyela: CCM yasikitishwa kusuasua kwa utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mbeya

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wazazi Taifa Ndg. Fadhil Maganya, amedai kutoridhishwa na utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mbeya, inayogharimu zaidi ya bilioni nne iliyojengwa kata ya Busale wilayani Kyela,na kuwataka Mkuu wa wilaya na Mkurugenzi...
  2. Stephano Mgendanyi

    Bunge Labaini Kusuasua Usafiri wa Mwendokasi (BRT) Dar

    BUNGE LABAINI KUSUASUA USAFIRI WA MWENDOKASI (BRT) DAR Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) imetoa taarifa kuhusu uendeshaji wa mradi wa mabasi yaendayo Haraka (BRT) jijini Dar es Salaam na kubaini tija ndogo katika utekelezaji wake licha ya uwekezaji mkubwa wa...
  3. Waufukweni

    Bunge labaini kusuasua kwa usafiri wa Mwendokasi Dar

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) imetoa taarifa kuhusu uendeshaji wa mradi wa mabasi yaendayo Haraka (BRT) jijini Dar es Salaam na kubaini tija ndogo katika utekelezaji wake licha ya uwekezaji mkubwa wa serikali. Hayo yamebainishwa bungeni jijini Dodoma leo...
  4. Jidu La Mabambasi

    Rais Samia chukua tahadhari kusuasua kwa TANROADS, utalaumiwa binafsi

    MODS naomba msiuunganishe mada hii na nyingine. Mimi mmoja wa waathirika moja kwa moja wa kusuasua kwa TANROADS, na amana yangu inaelekea kuuzwa na benki kutokana na TANROADS kushindwa kutulipa. Hali ya kusuasua na kuelekea kufa kwa TANROADS ni hali ambao haijawahi kutokea toka Taasisi hii...
  5. nipo online

    Kuna siri gani kua ukimsimulia mtu mipango yako ghafla inafeli au kusuasua?

    Nimesikia ama kuchunguza kua mara nyingi ukiropoka kwa watu mipango yako inaanza kusua sua na hatimae Kufeli mazima. Tafadhali wabobezi wa masuala ya kiroho naomba hapa ufafanuzi. Kuna mstari fulan katika biblia kua "usimwage lulu kwenye nguruwe wasije wakazikanyaga na kukurarua" je huenda...
  6. T

    Upenzi uliotopea na ufia vyama vya siasa ndio kiini na chimbuko la kusuasua kwa uchumi wa nchi yetu! Iko tutapatiwa kiongozi mbovu sana

    Kama mada inavyojieleza hapo juu, nchi yetu imejaaliwa kuwa na kila fursa ya kuifanya iongoze uchumi wa Afrika Mashariki na hata Afrika nzima. Lakini tatizo kubwa sana tulilo nalo kama nchi ni mfumo wetu wa uongozi. Mfumo wa uongozi wa nchi tulionao, hautoi nafasi ya watu kuwa huru na mawazo...
  7. X

    Makampuni makubwa yanaogopa na kusuasua kuwekeza Marekani

    Kuanzia TSMC, SAMSUNG, PANASONIC, HONDA na LG wameonyeshwa kutoridhishwa na sera za Marekani za uwekezaji. Tuanze na makampuni ya kutoka nje yaliyoonyesha nia kuwekeza katika sekta ya utengenezaji chips (semiconductors) ●TSMC Hii ni kampuni ya kutengeneza chips (semiconductor) ambayo makao...
  8. Uhakika Bro

    Suala la miradi kusuasua, wote tubebe lawama maana tulipaswa kubeba jukumu kwanza

    Miradi mikubwa kwa midogo inaposuasua utasikia; Kiongozi ametupa lawama kwa mkandarasi/mzabuni Mwananchi anamlaumu kiongozi Mkandarasi anamlaumu serikali Yaani ni vurugu tu kila mmoja anarusha lawama kwa kutokamilika kwa mradi. Japo lawama kwenda kwa mkandarasi/mzabuni ndiyo huwa kubwa zaidi...
  9. M

    Pamoja na kusuasua ujenzi wa bwawa la JNHP lafikia 74%

    Wasiopenda maendeleo ya Tanzania hawataki mradi huu ukamilike mapema.
  10. saidoo25

    Januari ataja sababu za kusuasua kwa Mradi wa JNHPP

    Waziri wa Nishati, Januari Makamba ametaja sababu za kuchelewa kwa mradi wa Bwawa la Nyerere kuwa ni utendaji mbovu wa Menejimenti ya Tanesco kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita. "Tuliamua kubadilisha menejimenti ya Shirika pamoja na Bodi na kuweka menejimenti mpya na bodi ambayo tunaamini...
  11. LUS0MYA

    Ujenzi wa barabara mbona umeanza kusuasua?

    Katika ilani ya CCM na ahadi katika uchaguzi uliopita suala la barabara lilikuwa agenda kubwa hasa barabara za kuunganisha mikoa ya pembezoni kama Katavi na Kigoma. Na pia barabara za vijijini. Ahadi kubwa ilikuwa ni ujenzi wa barabara kuboresha mitaa ya jiji la Dar es Salaam ambao ulifanikiwa...
Back
Top Bottom