HESHIMA YENU WAPENDWA UNAWEZA KUSOMA HUU UZI THEN KAA UTULIE JARIBU KUTAFAKARI HATA KIDOGO KILICHOANDIKWA.
Ni kosa kufikiri kwamba muda unaenda.
Muda hauendi. Muda upo hadi mwisho wa dunia.
Ni wewe unayeenda.
Haupotezi muda. Muda hauna kikomo. Unajipoteza mwenyewe. Wewe ndio una mwisho.
Ni...
Kiistoria, kila unapobaki mwaka mmoja au miwili kuelekea uchaguzi mkuu wa rais na wabunge nchini, ndani ya chadema kunaibuka minyukano.
Hii ilikuwa kweli mwaka 2008 na 2009, kuelekea uchaguzi mkuu wa 2010
Na Ikawa kweli 2013 na 2014, kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2015
Na sasa ni kweli pia...
Maisha ni safari ndefu yenye kila aina ya changamoto, na hakuna mwanadamu yeyote azaliwaye kwenye sura ya dunia hii bila kuzipitia. Changamoto huja kwa nyuso tofauti-tofauti kwa kila mmoja, na kamwe haziwezi kufanana wala kuwa na uzito wa aina ile ile kwa watu wote wanaozipitia.
Ikitegemea na...
Kijana wa miaka 23 anajua nini Cha kufia.
Kwenye maisha, lazima ujue nini kusudi lako.
Lazima ujue nini unaweza kukifia ama nini kinakufanya uishi.
Kwakweli wengi wetu tunapumua tu. Tupo hai si kwa kusudi lolote, ni basi tu oxygen inajipitisha mbele yetu na tunapita nayo.
Ni kama tunaiba hii...
Naanza kwa kuwatukanizia wale wote walio ni laghai nilipokuwa mtoto mdogo kwa kuniambia eti :
1. Nimerithi dhambi ya asili kutoka kwa mtu anaitwa Adam.
2. Eti nimeletwa duniani kufanya mitihani ( majaribu).
3. Kwamba eti alie niumba aliniumba ili nimuabudu..
........
1. Sina dhambi ya...
Ilitokea Ohio, marekani, 2000
KWA KIFUPI Ni kwamba,
Binti mmoja baada ya kula sana ujana, miaka 33 anaamua kuseto kwa kutafuta mume wa ndoto zake afanye maisha.
Vigezo vyake Ni awe mrefu, handsome na professional na anabahatika kupata mchumba daktari na penz lao Moto Moto penzi linaingia...
Rafiki yangu mpendwa,
Hadithi za kulala masikini na kuamka tajiri zimekuwa zinapendwa sana na watu wengi.
Wengi hudhani kuna njia ya mkato ya kupata utajiri, ambayo wakiweza kuipata tu basi wanakuwa wameagana na umasikini kabisa.
Lakini ukweli ni kwamba hakuna utajiri mkubwa wa kudumu...
Hii ni kwa Kiranga na mshamba_hachekwi , naomba maoni yenu 🤔
Dini lengo lake kuu ni kuwaunganisha watu kuwa katika udugu mmoja kwa ufunuo wa chanzo kimoja cha asili, lakini dini imekuwa tofauti imekuwa uwanja wa ubishani nani yupo sahihi?
Lengo la jumla la dini halipo ila lipo lengo la...
Naandika katika hali ya masikitiko makubwa kutokana na uzoefu wa madhila ya kimaisha niliyoyapitia na ninayowaona wengi tukipita katika njia ileile ya majuto kwa lengo kuu la kuhakikisha hatuupotezi muda mfupi tuliojaliwa na Mungu kufanya mambo yasiyo na faida yoyote kwetu.
Ni sahihi sana kuwa...
Salam ndg.mikutano muhimu ya siasa ambayo huwapa elimu watu juu ya mambo mbalimbali eti mwisho sa12:30jioni.lakini mikutano ya matapeli kwa jina la Yesu hadi sa moja!.Au kwakuwa hii ni ya kupumbaza watu wanaona heri?watu wanapeleka udongo ukaombewe badala ya kutumia mbinu bora za kilimo .ujinga...
Kwa niliyohakikishiwa GENTAMYCINE kwa wale Wenzangu ( wana Simba SC ) nawaombeni Mechi ya Alhamisi ya Simba SC dhidi ya Prisons FC msiende na Matokeo yenu na mjiandae mapema Kisaikolojia kwani kuna Miwili Kufungwa au kutoka Sare ila Kushinda tusahau labda tu Mpango huu Usitishwe rasmi Usiku huu...
Ikiwa una kusudi kubwa maishani, sio lazima uwe mtu wa kusukumwa sukumwa, bali shauku yako itakupeleka huko kwenye kusudi lako la kuishi.
Ikiwa una nguvu ya kujua kwa nini unaishi, utapata maana katika kila pambano utakalo pambana nalo maishani mwako.
Hukuzaliwa ili tu kula, kuzeeka na kufa...
Mwenyezi Mungu ni mwingi wa uweza mkuu, Mwenyezi Mungu ni mkuu mno. Aliwatambua na kuwateua hata kabla hamjazaliwa.
Naamini hakuna kiongozi yeyote anapata uongozi kwa mapenzi yake mwenyewe bali makusudi ya Mwenyezi Mungu muumba mbingu na nchi. Uongozi ni fulushi zito mnoo ambalo kama si kwa...
Pale ambapo mtu kavamia na kupanda mti katika eneo la nyumba (uwanja wangu) kwakuwa nasafiri sana. Hata baada ya kumwambia ang'owe akakubali atatoa au kuruhusu hata mimi nitowe lakini baada ya miezi5 hajatowa. Je, mimi niking'oa nitakuwa na kesi?
Ndugu zangu wanajamii forum,kwanza napenda kuanza na Salam ile pendwa kazi iendelee
Hili swali linaibuka kutokana na watu kujikuta ghafla tupo duniani,bila ya kikao cha makubaliano na wazazi wako wote kukuleta hapa duniani.
Basi tutaishi mwisho wa siku ghafla tutaondoka(kufa) bila ya...
Ni kweli kwamba ndoto, maono na njozi huja mara nyingi katika hali ya mafumbo sana ambayo kibinadamu ni ngumu kuelewa, lakini kwa msaada wa Mungu aliyefunua hayo huandaa na tafsiri halisi kuyahusu maono hayo ama ndoto na njozi hizo.
Nina wakaribisha katika tafsiri za Ndoto.
“Ndipo Herode, alipoona ya kuwa amedhihakiwa na wale mamajusi, alighadhabika sana, akatuma watu akawaua watoto wote wanaume waliokuwako huko Bethlehemu na viungani mwake mwote, tangu wenye miaka miwili na waliopungua, kwa muda ule aliouhakikisha kwa wale mamajusi”, Mt 2:16 SUV.
Jaribio la...
Heko kwa mkandarasi yule tusiewahi kumuona, japo ndie muasisi wa vyote tunavyoviona, kuvisikia na kuvihisi. Ubora na wake ufanisi si vyepesi kuunena, tena abadan si rahisi kuuelezea kwa marefu wala mapana.
Bila malalamiko ya wanyonge na shinikizo la mwenyekiti, wazo lilimjia tangu. Bila shahada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.