Kijana wa miaka 23 anajua nini Cha kufia.
Kwenye maisha, lazima ujue nini kusudi lako.
Lazima ujue nini unaweza kukifia ama nini kinakufanya uishi.
Kwakweli wengi wetu tunapumua tu. Tupo hai si kwa kusudi lolote, ni basi tu oxygen inajipitisha mbele yetu na tunapita nayo.
Ni kama tunaiba hii...
Najua most of wanaume wanahusisha uanaume katika mahusiano na kuprovide a.k.a kuhudumia. Hii ni idea pandikizi ambayo ina elements mchanganyiko za kike na za kiume.
Za kike kwasababu ni logical kwa mwanamke kupewa vitu ili awe mwanamke na kuwa soft, asifanye kazi mwili uweze kurelax, awe...
Heko kwa mkandarasi yule tusiewahi kumuona, japo ndie muasisi wa vyote tunavyoviona, kuvisikia na kuvihisi. Ubora na wake ufanisi si vyepesi kuunena, tena abadan si rahisi kuuelezea kwa marefu wala mapana.
Bila malalamiko ya wanyonge na shinikizo la mwenyekiti, wazo lilimjia tangu. Bila shahada...

Salute.
August 17 mwaka 2018 niliweka mada humu ambayo inakichwa cha habari kisemacho “ https://www.jamiiforums.com/threads/watu-wanasema-mimi-ni-nani-swali-alilouliza-yesu-linalofungua-ubongo-wa-mwanadamu-kujitambua.1469399/post-27991776“. Lengo kuu la mada hiyo ilikua kumfanya mtu ajiulize...
Septemba 28, mwaka 2008 - Elon Musk amekaa ndani ya Control Center katika ofisi za Space X pale Hawthorne, California nchini Marekani. Hayupo comfortable kabisa - macho yake ameyaelekeza katika screen iliyopo mbele yake.
Wakati anasubiri launch ya Falcon 1, lazima atakuwa anawaza hatari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.