Heko kwa mkandarasi yule tusiewahi kumuona, japo ndie muasisi wa vyote tunavyoviona, kuvisikia na kuvihisi. Ubora na wake ufanisi si vyepesi kuunena, tena abadan si rahisi kuuelezea kwa marefu wala mapana.
Bila malalamiko ya wanyonge na shinikizo la mwenyekiti, wazo lilimjia tangu. Bila shahada...