kusuka mitindo yote

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Msichana wa Kazi Saluni ya Kike anahitajika

    Habari Natafuta msichana wa kufanya kazi saluni ya kike iliyopo Mbagala kuu, Dar es salaam -njia ya Kijichi. Awe anajua kusuka mitindo yote, kuweka dawa, steaming, kuosha nywele na kazi nyinginezo za saluni ya kike. Itapendeza zaidi akitokea maeneo ya karibu na huku kama vile Mbagala, Temeke...
Back
Top Bottom