Viongozi wa juu CHADEMA wana ulinzi wa aina 3.
1. Ulinzi kwasababu jumuia za kimataifa wanawafahamu.
Si rahisi kumuua kiongozi wa mkuu wa chama cha upinzani kwakuwa wauaji nao wanahitaji misaada kutoka kwa watu ambao wameruhusu upinzani. Kiongozi wa upinzani ngazi za chini hata akiuwawa jumuia...
Afisa uchaguzi jimbo la Iringa mjini, Bernard Mwaituka, akitolea ufafanuzi kwa njia ya simu kupitia kipindi cha Kiyoyozi cha Nuru FM juu ya madai yaliyotolewa na CHADEMA kuhusu hujuma zilizojitokeza katika suala zima la upigaji kura uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika jana 27 Novemba 2024...
CCM wamedhania kuengua wagombea na sasa kujitapa kuwa Wapinzani hawajaweka wagombea wa kutosha kama CCM ndio ujanja.
Kutokupiga kura ni kuihalalishia ushindi CCM hivyo njia sahihi ni wapinzani na wale wote wanaojitambua kupiga kura ya kuwakataa ya HAPANA kwa wingi sana hadi wajue pamoja na...
Wanabodi,
leo kuna press conference muhimu ya Chadema。
hili ni bandiko la kitu kinachoitwa preemptive move ya kuisaidia Chadema ahead of Press Conference hii muhimu ya Mwenyekiti wa Chadema leo,ili kuisaidia Chadema wasifanye kosa la kurudia kosa la kususia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa!。...
Vijana na wazee wa CCM hawana aibu, hawajawahi kuwa na aibu na hawatakuwa na aibu. Msipoangalia wagombea wa CHADEMA ambao hawajaenguliwa baadhi watauliwa na wengine kupewa ulemavu wa kudumu.
Hebu muiache CCM itawale wa uhuru. Pelekeni maombi kwa msajili wa vyama vya siasa akifute CHADEMA labda...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoa wa Mbeya kimewaasa wananchi kutosusia uchaguzi wa Serikali za Mitaa, vitongoji na vijiji kwa kuwa kura zao ndizo zitakazoamua aina ya viongozi na mustakabali wa maisha yao kwa kipindi cha miaka mitano ijayo (2024-2029).
Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa...
Kila kitu kichachofanywa na wanasiasa mara nyingi huwa kinakuwa na sababu nyuma yake, tayari kinakuwa kishapigiwa hesabu kuona nini faida yake na hasara yake.
Kauli au taarifa za kuwepo kwa uchakachuzi wa matokeo ya uchaguzi, au wizi wa kura huemda ni moja ya mbinu ya kupunguza idadi ya wapiga...
Ndugu zangu wananchi wote, wanasiasa, wadau wa demokarisia, uhuru, haki na usawa, wanaharakati na makundi mbalimbali ya kijamii, kiuchumu na kisiasa, hamjambo? Nawasalimu Nyote kwa Jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania....:NoGodNo:
Katika historia ya siasa za vyama vingi Africa Mashariki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.