kutafsiri ndoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwachiluwi

    Mnajua kutafsiri ndoto nisaidie

    Morng Ase naota nipo karobu sana na rais si mara ya kwaza kabisa inakuja na kuondoka sasa sijajua ina maana gani mda mwingine asipo kuwa rais bas ni viongozi wakubwa wakubwa mfano kabudi embu nisaidie Au kuna siku na mimi nitakula keki ya taifa 😂😂😂 nipo serious
  2. Ojuolegbha

    Naamini hakuna mwingine atakayeweza kutafsiri Ndoto na Maono ya Rais Samia ya kuwagusa na kuwafikia Wananchi katika huduma za kijami

    Hongera sana Engineer Fatma Kara, Samia Foundation na Team ya Quality Builders kwa mwanzo mzuri sana. Naamini hakuna mwengine atakayeweza kutafsiri Ndoto na Maono ya Mhe. Dr. Samia Suluhu Hassan ya kuwagusa na kuwafikia Wananchi katika huduma za kijamii zenye Viwango vya Hali ya juu kama...
  3. Mhafidhina07

    Usihangaike kutafuta maana ya ndoto, picha unazoziona tafsiri yake ni wewe

    Ushawahi kujiuliza kwanini umeota askari anakukamata na kukuweka kituo? Kuna wengine wanaota ndoto za majoka na wanyama wengine. Basi nikwambie tu,ndoto ni fahamu zako na ikiwa huzitambui fahamu zako basi ni ngumu kutafsiri ndoto,unapoenda kwa viongozi wa dini sometimes wanakosea. Lets say...
  4. Under-cover

    Anayeweza kuitafsiri hii ndoto anisaidie

    Samahani, mimi leo nimeamka nikapigiwa simu na mdogo angu akanambia kuwa mama yetu aliota usiku wa kuamkia leo kuhusu mimi, kuwa nilikuwa niko porini, alafu watu wananisemesha ila mimi siwasikii. NDOTO HIYO. Baadae saa 11 jioni, nilikuwa chumbani peke angu alafu mlango nilikuwa nimeuegesha ila...
Back
Top Bottom