“Refa wa leo apewe derby nimependa namna ambavyo ametafsiri sheria ya mpira, Simba penalty zote 3 ni clear kabisa hakuna doubt hata kidogo.
Huu mpira tunaucheza na tunaujua lazima tuwe wakweli
Kudos kwa mwamuzi...hajaangalia idadi ya penalty anazotoa ameangalia zaidi matukio”
Hayo ni maneno...
Morng
Ase naota nipo karobu sana na rais si mara ya kwaza kabisa inakuja na kuondoka sasa sijajua ina maana gani mda mwingine asipo kuwa rais bas ni viongozi wakubwa wakubwa mfano kabudi embu nisaidie
Au kuna siku na mimi nitakula keki ya taifa 😂😂😂 nipo serious
Kichwa Cha habari hapo wakuu kinajieleza nataka Kujua Hawa wakina Mpemba og, side kama side Huwa wanatumia software gani kuingiza maneno Yao ?!?
Nawasilisha swali na kama hujui kama Mimi Kaa kimya .
Hususan kwa watendaji, washauri wa Rais na vyombo vyetu vya intelijensia.
Nchi ndogo za magharibi ya Afrika zimeonesha jinsi Afrika inavyohitaji mabadiliko ya namna tunavyoongoza nchi na kusimamia Serikali.
Tanzania ni wakati umefika itazame uhalisia. Ya nchi hizo ndogo ni mfano mzuri sana, na...
Baada ya kusoma kitabu cha fikiri utajirike (Think& grow rich) nimetokea kuvutiwa nami kutafsiri vitabu ambapo nia yangu nikuja kutafsiri kitabu kama cha human nature, unlock it by Dan Lok na vingine vingi ila nikaona nisiishie hivi hivi nikaingia Google kutafuta mwanga kidogo lakini nimeishia...
Jambo wanajamii.
Tafadhali anayejua app ya kutafsiri lugha, nimekutana na kitu kizuri sana usiku huu Youtube, sitapenda kinipite.
Thank you in advance.
Kuna watu humu ndani wamekuja na hoja mbalimbali za ndoto na kutafsiri ndoto
Biblia imeeleza waziwazi kwamba hakuna mwanadamu mwenye uwezo wa kutafsiri ndoto
Tujifunze kisa cha Yusufu kwa Pharaoh na Daniel kwa Nebuchadnezzar. Hao wote wawili waliwaeleza wafalme kwamba hakuna mwanadamu mwenye...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Mfanyabiashara na Mwekezaji wa Kimataifa, mbunge wa zamani wa Mbeya Mjini , Bilionea Joseph Mbilinyi, jioni ya leo alikuwa Wilayani Chunya, akiwaelimisha wananchi kuhusu Umuhimu wa Katiba Mpya na Ubovu wa Mkataba wa Bandari.
Hapa ni Kata ya Makongorosi, ambapo...
Habari wakuu,
Nimekwama tafadhalini. Naamini kila mtu humu ana talanta yake ambayo amebarikiwa, Naamini pia huku kuna wakina Yusuf walioweza kutafsiri ndoto kipindi cha utawala wa Wamisri kwa Israel na ndiyo maana sinaga tabia ya kudharau watu. Ni marefu kidogo ila nakuomba soma hadi mwisho...