Kampuni kadhaa za Rwanda, zilishiriki kwenye maonyesho ya saba ya kimataifa ya uagizaji wa bidhaa za China (CIIE) yaliyofanyika mjini Shanghai.
Maonyesho hayo ambayo yameandaliwa na Wizara ya Biashara ya China kwa kushirikiana na Shirika la Biashara Duniani (WTO), ni maonesho makubwa zaidi ya...
Mambo mengi tunayosoma huku tunaona hayana ajira kwa sababu ya soko la ndani lilivyo bovu.
Fikiria mtu amesoma kiswahili na anakomaa kubaki Tanzania, utamfundisha nani na wote wanajua Kiswahili tena wengine wanakuzidi kabisa. Chukulia mfano yule dogo wa UDOM alivyokuwa anaongea kiswahili kizuri...
Kutafuta fursa za kazi au maendeleo kwenye mazingira uliyopo inaweza kufuata hatua kadhaa za msingi:
1. Tambua Malengo yako: Elewa ni aina gani ya fursa au maendeleo unayotafuta. Je, ni kuendeleza kazi yako ya sasa au kutafuta nafasi mpya kabisa?
2. Jenga Mtandao: Tambua watu katika mazingira...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.