kutafuta hela

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rozela

    Hongera Uncle Mbowe. Wachaga tumetumwa kutafuta hela sio sifa

    Uncle ningeshangaa kama ungekata tamaa na kuiacha Saccos yetu mikononi mwa wavamizi wasiojua tulipo itoa. Babu Mtei, mzee Ndessamburo aka Ndessa Pesa walikukabidhi huo mradi uulinde kwa wivu mkubwa. Niwazi uncle Christmas itakuwa safi sana. Tukutane Hai, wamachame tuna jambo letu.
  2. Last_Joker

    Niaje Kuwa na ‘Side Hustle’? Kutafuta Hela Zaidi au ni Kukosa Tamaa?

    Siku hizi imekuwa kawaida kusikia watu wakijisifia wana ‘side hustle’ – kazi ya ziada mbali na ajira yao ya kudumu. Swali linakuja, hivi kuwa na ‘side hustle’ ni kutafuta hela ya ziada kwa maisha bora au ni tamaa tu ya kutoridhika na mshahara wa mwezi? Kila mtu anapambana kutafuta hela za...
  3. C

    Wale wakusema "Tafuta hela, woga wako ndio umaskini wako" wachunguzwe hasa linapokuja suala la watu kupotea kwa utata

    Nimesikitishwa na jinsi maiti zilivyokutwa kwa mganga wa kienyeji kule Singida. Hii ni moja ya matokeo ya tamaa kali za mali hasa kwa vijana wa siku hizi wakisukumwa kauli mbiu za kipumbavu zinazoongozwa na visichana na wanawake wasiojielewa. Tamaa hii kali ya mali na utajiri vimewasukuma...
  4. Peter Mwaihola

    Hakuna furaha ya kweli anayoipata masikini, umasikini ni nyumba ya huzuni

    Kila hatua unayopiga kwenye maisha ipime kwa kuangalia ulikotoka. jiulize jana na juzi nilikuwa wapi leo niko wapi, majibu yake yatakupa taswira kama unapiga hatua au unarudi nyuma. Wapo wengi ambao hupima mafanikio yao katika nyanja moja tu ya maisha "hali ya kiuchumi" pasipo kuangalia...
Back
Top Bottom