Wanajamvi.. nawasalimia sana. Katika kukabiliana na hali ngumu ya upatikanaji wa wafanyakazi hasa kada isiyo na qualifications maalum, au kwa wafanyakazi kupata kazi katikabsekta isiyo rasmi, tunawaletea app iitwayo servicehands. Hii ni app ambayo unawaunganisha waajiri na wale watafutao kazi...
Habari za siku kadhaa ndugu zangu.
Narudi tena kwenu wakuu. Week kadhaa zilizopita nilileta bandiko la kutafuta kazi hapa, sipendi nieleze tena mapito yangu ila nataka kusema tu bado kwa upande wangu giza ni kubwa sioni mwangaza
Nimejaribu haya kwa upande wangu
1. Nimejaribu viwandani...
Leo kuna dogo kaja ana lalamika yani kaenda kwenye interview na alipofika amewakuta wale wanaomuuliza maswali wanaelewa sana kile alichokisomea yeye na hata wao hawajasomea course hiyo. Walimwambia kuwa hawamuhitaji kwani wanachuo wengi wanafundishwa kwa theory sana na sio practice.
Kwa stahili...
Kwenye nchi zilizoendelea kwasasa kuna uhaba mkubwa wa vijana wa kufanya kazi lakini wakati huohuo kuna janga kubwa la vijana wasikuwa na kazi Tanzania. Pamoja ni jitihada nyingi za serikali za kusaidia vijana kupata kazi na kufanya shughuli za kilimo ni lazima vijana nao wajiongeze walau kuweka...
Kwa majina naitwa nassor maneno,naishi dar es salaam vile vile nina certificate ya clearing and forwarding , pamoja na hayo me nilkuw naomb kaz kwa mwenye connection ya clearing and forwarding au yoyote.
Ahsanteni
Habari zenu ndugu zangu.jina langu ni SAIDI RAMADHANI.Nikijana mtanzania ninauhitaji wa kazi kwa kazi yeyote ile ya halali Niko tayari kuifanya.kwani ninauwezo wa kuzungumza kiingereza na kiswahili fasaha.
kuhusu swala la mshahara nimaelewano na muajiri pale nitakapo pata kazi kikubwa ni kazi tu...
Wakuu..
Hiv maisha ndo yanaishia hapo tu au kuna la ziada... Maana naona watu weng accomplishment zao znacheza hapo.. So. Nauliza ni hapo tuu au? Kuna kitu na regret sana mim kama mim.. niko mbion angalau kukibadili. Well.. perhaps tumezaliwa kwenye land of no dream... Tunafanyaje sasa hapo...
Naitwa Fausta nina umri wa miaka 21 naishi Dar nina elimu ya chuo nimesomea secretary nina uzoefu wa mwaka na miezi 6. Natafuta kazi pia usafi maofisini naweza nisaidieni waungwana
Ninatambua kwamba watu wengi wanafuta ajira usiku na mchana bila mafanikio.
Ukifikiri kwa makini utagundua kwamba, njia iliyokuwa bora ya kujihakikishia ajira sio kutafuta ajira. Bali ni kutafuta tatizo au matatizo unayoweza kuyatatua.
Jaribu zoezi hili; mwezi huu tembelea Ofisi kadhaa popote...
Ni hali tete kila kona wanaume wanalalamika tabia za wanawake kuomba pesa. Siku hizi kumpata mwanamke asiyeomba omba pesa ni kama kuokota embe bolibo chini ya mchungwa. Wanawake wastaarabu wasiyo omba pesa ni kama wameshaisha siku hizi.
Wanaume wanalalamika unakutana na dada unampenda...
Habari za jumapili wana Jamii Forum
Leo naomba nizungumze kidogo na hawa wenzetu upande wa Kiume mana miaka ijayo kuna hatari ya kupoteza nguvu kazi
Siku izi ni kawaida kabisa kukuta mdada anauza matunda, anatembeza mtumba, anachoma mandazi ubuyu na juice na mengine mengi ya kuingiza kipato...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.