Mimi ni kijana wa kiislamu nina miaka 35 nahitaji mke pia mimi ni mweusi nafanya kazi serikali .
Mke ninayemuhitaji awe muislamu kazi sio muhimu awe mweupe na asiwe na mtoto miaka isizidi 30 pia aipende dini na kupenda kuswali.
Karibu sasa aliyeko tayari aje tujenge maisha yenye kumpendeza Mungu
Wakuu, nimekuwa na wazo la kwenda Shinyanga kutafuta pisi moja ambayo nitatulia nayo tuanzishe familia.
Unaweza kuniuliza why Shinyanga? Kipindi kile Haji Manara alipomuibua Rushayna, baada ya kugombana naye nakumbuka alisema alimuibua huko Shinyanga. Rushayna ni pisi kwa kweli, naikubali sana...
UKÍWA UNAJITAFUTA NDIO WAKATI SAHIHI WA KUTAFUTA MKE. NAMAANISHA MKE WA UJANA WAKO (MIAKA 21 - 30)
Anaandika, Robért Heriel
Mtibeli
Kijana wangu ukiwa kama Mtibeli na kama walivyo Watibeli waliotangulia na wataokuja.
Tafuta mke ukiwa únajitafuta. Tafuta mwenza wako wa maisha úkiwa katika...
Binafsi nilioa nikiwa na 28 mke wangu muda huo akiwa na 18, Kwa sasa naenda 36 mwenzangu yupo 26
kumekuwa na pattern kubwa ya vijana kutafutana waoane kwa kigezo cha kukaribiana ama kulingana umri.
Sababu kuu huwa ni "nioe binti mdogo tutaongea nae nini"
Niwajuze tu kwamba kwenye ndoa ni...
Habari wadau.
Naona post nyingi za watu kutafuta wenza wa dini zote.
Pia hata mitaani naona watu wakihangaika kusaka wenza..
Huwa nashangaa sana na waislamu nao wanahangaika kusaka wenza kama mke na mume.
Uhalisia naona kama waislam ni rahisi sana kupata mwenza kwenye mazingira yeyote
Kuna kijana wa Kiislam ana umri wa miaka 28, Elimu yake ni degree, amejiajiri na kwa rehma za Allah pesa ya kula na mahitaj mengine muhimu zipo.
Sifa za Mke anaehitajika ni kama ifuatavyo;
Awe muislamu mwenye kufanya Ibada.
Awe na Elimu angalau Certificate au Diploma, Akiwa na Degree its even...
Naitwa zaza, nina Miaka 23, nina makazi Mbeya, natafuta mke wa kuishi naye uchumba hadi ndoa. Umri asizidi miaka 25, hofu ya Mungu kwake ni kipaumbele kwangu, awe mpambanaji na mwenye kujiheshimu. Awe mkristo vinginevyo awe tayari kubadili dini. Seriously upweke nimechoka.
Karibu inbox...
Kichwa cha habari chahusika.
Natafuta mwanamke mwenye uhitaji wa kuwa na mwanaume kwa malengo ya ndoa na kujenga familia bora.
Sifa za huyo mwanamke :
1. Awe mwenye hofu ya Mungu
2. Awe kabila lolote lile
3. Umri kuanzia miaka 22 - 35
4. Asiwe single maza
5. Elimu yake iwe kuanzia form iv
6...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.