Tupo katika kipindi cha toba kwa dini zote, Islamic na Christian tupo katika Ramadan na Kwa Resma, ni matumaini yangu mnashirki vyema na Mungu awabariki.
Kwa hakika mahusiano hayajawahi kuwa rahisi iwe katika uchumba ama ndoa. Kuna ups n down nyingi za kukatisha tamaa, ila wakudumu wanadumu na...