kutafuta mwenza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. KikulachoChako

    Kutafuta mwenza nyakati hizi ni jambo gumu ,linaloonekana jepesi machoni pa watu waliotanguliza hisia badala ya akili

    Habari za usiku waungwana.. Ni jambo lililo wazi kimaumbile kuwa mwanadamu mwenye utimamu wa akili na mwili anamhitajia mwenzake wa jinsia nyingine ili kukamilisha muunganiko wa kimaumbile unaoleta stara ya kibinadamu. Ni jambo muhimu kwenye maisha ya mtu yeyote mwenye kuyatazama mambo kwa...
  2. rosita

    Mwanaume asiye na uwezo wa kupata mtoto anahitajika

    Ahsanteni Nimefanikiwa kupata rafiki mwema mwenye vigezo zaidi ya nilivyoandika. Mungu awabariki
  3. W

    Natafuta mwenza (mwanamke) anayeishi na VVU

    Habari zenu? Mm ni kijana mwenye umri wa miaka 35. Natafuta mwanamke anaeishi na VVU. Umri kuanzia miaka 30 na kuendelea. Aliye tayar anipm au kwa E-mail kareemibu9@gmail.com
  4. W

    Nahitaji mume serious

    Jamani nipo serious natafuta mume nahitaji mwanaume ambaye yupo serious kwaajili ya ndoa na kujenga familia. Awe na mapenzi ya dhati maana napenda kupendwa na kudeka. Awe baba kwa watoto wake pia rafiki kwa mimi mke wake yaani napenda mume ambaye ni rafik yangu Mimi ni single mom ila kiuchumi...
  5. jastertz

    Kwanini ndoa za kutafuta mwenza mwenyewe hazidumu kuliko zile walizokuwa wanatafutiwa?

    Habari wa JF, Leo nilikua mahali napiga story mbili tatu na pisi moja hivi mitaa ya stend. Tuliongea mengi then tukazama kwenye story za mapenzi, nikamuuliza, kwanini wapenzi wa kutafutana na kupendana hawadumu kwenye ndoa, tofauti na zamani ile unaambiwa huyu ni mke/mme wako? Mnaona ambao...
  6. B

    Natafuta mwenza (mume)

    Hello JF users.Niko jukwaani kutafuta mwenza(mume) Sifa zangu; Jinsia- mwanamke Dini-mkristo Umri-30+ yrs Elimu-Degree moja Mtoto-Mmoja 10 yrs Ajira-Niko private sector Ninayemuhitaji awe Mkristo; 32-40yrs Awe na kazi halali Asiwe kwenye ndoa kwa sasa Awe muelewa na utayari wa kuingia kwenye...
  7. zaza777

    Natafuta mke (mchumba)

    Naitwa zaza, nina Miaka 23, nina makazi Mbeya, natafuta mke wa kuishi naye uchumba hadi ndoa. Umri asizidi miaka 25, hofu ya Mungu kwake ni kipaumbele kwangu, awe mpambanaji na mwenye kujiheshimu. Awe mkristo vinginevyo awe tayari kubadili dini. Seriously upweke nimechoka. Karibu inbox...
  8. M

    Nautafuta mwenza (Ke)

    Wakuu wasalaaam, Nautafuta mwanamke tuyajenge, tuzae tulee wanetu. Umri wake awe kati 29-34, kama ana mtoto ni sawa tu ila mtoto asizidi mmoja. Umri wangu ni 38. Kwa taarifa zaidi karibu sana PM kwa aliyeguswa. Nawasilisha.[emoji119]
  9. deina

    Natafuta mwenza

    Mimi ni msichana, mkazi wa Dar es Salaam, single, miaka 24, Mkristo, muajiriwa sekta binafsi, mrefu, maji ya kunde, mnene kiasi, natafuta mwenza. Sifa: ~Mrefu, mweusi au maji ya kunde, mnene kiasi, awe Mkristo pia. ~ Awe ni kijana kuanzia miaka 29-40. ~ Awe na kazi. ~Na awe mkazi wa Dar es...
  10. O

    Natafuta mume

    Bwana yesu asifiwe! Wakuu natafuta mume ambae yuko serious kuishi na mie tufunge ndoa tuishi pamoja. Mimi ni mzaliwa wa kilimanjaro mwaka 1993 mkoani kilimanjaro. Nina Bachelor Degree ya Medicine niliyoipata Chuo cha Muhimbili na pia nina Masters Degree ya Medicine specialise kwa watoto kwa...
  11. Mtu Asiyejulikana

    Nahitaji mwenzi ambaye ni muhimu kuwa na sifa hizi

    Nina miaka 40+, elimu Shahada ya miaka 15 iliyopita. Nina shughuli zangu binafsi, naishi DSM, na wakati mwingine husafiri kwenye shughuli zangu za kikazi. Nahitaji mwenzi ambaye kadri tutakavyofahamiana ndivyo tutajua kama tunaweza kuwa wachumba au laah. Kwa maana tunahitaji kuamua kwa pamoja...
  12. Z

    Natafuta mwenza HIV+

    Natafuta mwanaume mwenye hiv +, mwenye uelewa na afya yake na anatumia ARV. Aliyeserious tafadhali mengine tutajuana PM.
  13. J

    Nahitaji Mwanaume

    Wapendwa habari zenu. Mimi ni mwanamke mwenye miaka 33, ni mwajiriwa wa sekta binafsi mkoani Rukwa. Mimi ni mkristo na Nina mtoto mmoja. Ninajitokeza kwenu nikiwa nahitaji mwanaume mwenye hitaji kama langu. Awe mkristo mwenye umri kuanzia miaka 33-49, mwenye kipato halali, awe na utayari wa...
  14. R

    Natafuta mwanamke anayefaa kuwa mke

    Kichwa cha habari chahusika. Natafuta mwanamke mwenye uhitaji wa kuwa na mwanaume kwa malengo ya ndoa na kujenga familia bora. Sifa za huyo mwanamke : 1. Awe mwenye hofu ya Mungu 2. Awe kabila lolote lile 3. Umri kuanzia miaka 22 - 35 4. Asiwe single maza 5. Elimu yake iwe kuanzia form iv 6...
  15. D

    Looking for serious relationship

    Hello! Good morning everyone, my name is Dorcass, age 30 years, single, I don't have kids. I am looking for serious man later to be my husband. I need a person who loves himself and fear of God. First must be a Christian. I need someone older than me age between 35-40. Must be government or...
Back
Top Bottom