"USITAFUTE Mapenzi Katika Umri Wa Kutafuta PESA"
Jana Nimechelewa Sana Kulala Nilikuwa Nasoma Tafiti Fulani Kuhusu UMRI na MAISHA.
Nikajifunza Kwamba Kuna Umri Ukiwa Nao Fursa Nyingi Zinakuwa Nje Nje, Na Unazipata Haraka.
Ila Kuna Umri Ukifika Hata FURSA Kuzipata Inakuwa Mtihani wa Chuo...
NHIF wamefuta Najali ambayo mtu mmoja alikua analipa 192,000/=, Wekeza 384,000 na Timiza 516,000/=
Wametambulisha vifurushi vipya ambavyo ni Serengeti Afya 660,000 na Ngorongoro Afya 240,000 kwa mtu mmoja kwa mwaka.
Wamebadili kifurushi cha watoto ambacho awali kwa mtoto ambaye bado hajaanza...
Niliona video fupi mtandaoni ikionyesha msiba wa hayati Mafuru.
Ile ni nyumba au hekalu? Nyumbani kwa marehemu ndani ya fensi pana lami. Nyumba ipo Kijazi fly over geti la nyumba lipo Stand ya Magufuli!!
Ngoja nitafute sana pesa, sitaki kupoteza muda wakuu
Umemkuta mke wako akiwa na zaidi ya miaka 25, kubali usikubali ninyi wote mna historia na siri zenu nyingi,
Ni mawazo ya kishamba sana kuhangaika utafute pesa ili mke wako aishi vizuri ukidhani ni kinga ya yeye asichepuke, Mwanamke ni kiumbe chenye hisia za mapenzi na mapenzi ni fumbo kubwa...
Hapa naongea katika Roho
Kuna watu wanakusanya watoto wa maskini kutoka kijijini na kuwatumikisha kwa kuuza vitu vidogo vidogo kama mayai ya kuchemshwa, kandoro au miwa.
Mtu anakuwa na vijana 5 au zaidi anawaweka kwenye chumba kimoja anawafanya watumwa wake huku watoto wake mwenyewe...
Habari zenu wakuu! Leo nataka tujadili suala muhimu sana katika maisha ya mwanaume. Wengi wetu tunajua kuwa kutafuta pesa ni moja ya majukumu makubwa ambayo mwanaume anabeba, lakini je, ni kweli kwamba maisha ya mwanaume yanapaswa kuzunguka pesa tu? Kando na juhudi za kutafuta riziki, kuna mambo...
Dotto anaongea ukweli wasomi lazima wabadilike tena sana.
Zaidi ya vyeti na ajira ni kitu gani kikubwa msomi ana miliki wakuu?
VYETI: Msomi akifa watoto hawawezi kurithi vyeti.
Akifa tu vyeti vinatupwa jalalani havina kazi tena.
AJIRA: Msomi akifa watoto hawawezi kuirithi. Akifa tu ajira...
Jana nilienda kutazama fainal uefa pale kuku kuku.
Fainali ikiendelea na mimi niliendelea kuburudika, bill ikaja hii.
Anyway tutafute pesa kwa kasi sana
Naomba ushauri ulio serious, hili jambo ni serious, sio Drama.
Ichukulie kama ni wewe.
Unauhakika wa kupata 20M cash,
Kwa ufupi ni kufanya maamuzi tu ila unasubiriwa wewe tuu.
Una vyombo na kitanda tuu,
Kwa ufupi, ni vitu vya kukufanya upike na ulale...
Risk ni kwamba ukichukua umechukua...
Kaka millard ni exception, katoka mbali sana huyu.
Nimekuwa nikiona baadhi ya vijana hasa hawa wa chuoni na wahitimu wenye kujua jua kutumia vilaptop wanapotoshana mambo ya youtube, blogging, sijui app, adsense, n.k. kwamba kuna pesa
Ni kweli haya mambo kwa wenzrtu huko yanalipa na watu...
Ni Binti mdogo mwenye umri wa miaka 23,na mwenye mtoto mmoja Familia hii haina Baba kwani baba yao alishafariki Miaka mingi iliyopita na kijana aliyempa mimba binti alimtelekeza tangu mtoto akiwa ana miezi 6.
Mama wa huyu binti ana umri wa miaka 63 alikuwa mzima kabisa tangu kuzaliwa huku...
Tunatumia pesa kila siku na tunahitajika kutafuta pesa kila siku usiruhusu siku ipite bila kutengeneza pesa,na njia pekee ya kutengeneza pesa nikujifunza kutengeneza pesa.naumia sana nikimuona kijana mwenzangu wasasa pamoja na fursa zote hizi zilizopo bado anashindwa kujipatia kipato chochote...
Wazee wetu punguzeni nongwa, ubinafsi na roho mbaya. Ni ukweli usiopingika kuwa wazee wetu wamekuwa ni miongoni mwa sababu mojawapo ya vijana wengi kunyimwa ajira kwa kigezo cha uzoefu. Wazee wanawasagia kunguni vijana.
Sasa kumezuka wimbi kubwa la wazee kulazimisha kupewa msaada wa hali na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.