Habari wa JF,
Leo nilikua mahali napiga story mbili tatu na pisi moja hivi mitaa ya stend. Tuliongea mengi then tukazama kwenye story za mapenzi, nikamuuliza, kwanini wapenzi wa kutafutana na kupendana hawadumu kwenye ndoa, tofauti na zamani ile unaambiwa huyu ni mke/mme wako? Mnaona ambao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.