Naomba wajuzi mje mniongezee hekima hapa kidogo uwenda yangu imepunguka..
Katika jamii zetu kuna vijana ambao wanafanikiwa kujipatia kipato na kuanza maisha...
Katika utafutaji inaweza kuwa ajira serikali au ujasilia mali, mvutano unaanza kwa mtoto na baba (na mimi ni baba ajae) hasa wazazi wa...