Kutakatisha fedha ni mchakato wa kuficha asili ya fedha haramu ili zionekane ni halali. Sheria ya Udhibiti wa Kutakatisha Fedha Tanzania ilitungwa kutokana na shinikizo la Marekani baada ya mashambulizi ya kigaidi, ikilenga kuzuia rasilimali fedha kuwafikia magaidi.
Hata hivyo, biashara kubwa...
MKUU wa Wilaya ya Temeke Sixtus Mapunda amevitaka vyombo vya ulinzi na usalama kufanya uchunguzi katika baadhi ya showroom za magari zilizopo wilayani humo ili kubaini iwapo zinatumika kutakatisha fedha zinazotokana na biashara ya dawa za kulevya.
Akizungumza katika Viwanja vya Mwembe Yanga...
Kwenye kalenda ya uchaguzi, tunaambiwa kutakuwa na kupiga kura, niwaambie watanzania wenzangu Chadema wanahoja, mfumo uliopo sasa, naomba sana muelewe ile kauli mbiu ya October tuna tiki, maana yake hata usipoenda kupiga kura, watakutikia ..
Tume ifunge camera vituo vyote ,kama wanataka haki
Dalili zote zilianza mapema sana kufanywa na GSM kupitia Engineer Hersi kuitumia klabu ya Yanga kama kichaka cha kufanikiwa kisiasa na kutakatishia pesa. Hitimisho likawa juzi kwenye harambee ya CCM pale ambapo rais wa klabu ya Yanga kutangaza kuwa Yanga itatoa milioni 100 ili kuchangia kampeni...