kutambuliwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pdidy

    WAPARE WAOMBA URAIA KENYA WATAKA KUTAMBULIWA RASMI

    Waparee mpoooo Jumuiya ya waparee waishiyo Kenya wameomba KUTAMBULIWA RASMI. Kama wakenya na wachangiaji WA uchumi WA Kenya Wakiongea MBELE ya makamu WA RAISI wamesema wanaomba kupitia gazeti rasmi la serikali watambulike kama wakenya BAADA ya maambi hayoo MH makamu WA rahisi amewahakikishia...
  2. Q

    Tetesi: Mmoja wa Watekaji wa Mfanyabiashara Deogratius Tarimo ni huyu hapa...

    Kutoka Mtandao wa X (Twitter) 1. Huyo jamaa tall mwenye aliyevaa raba na shati la mistari amepiga JKT Orjoro mwaka 2008 (Operation Kilimo kwanza) Alifahamika pale jkt kwa jina la NYANG'AU na alikuwa kombania B (B Coy) Mwaka 2009 akaajiriwa na jeshi la polisi na urefu wake ndio uliombeba...
  3. M

    Ni muda wa atheists kutambuliwa kisheria!

    ---------------- 2024, Aug 24. Dar es Salaam. Saa 3:35 asubuhi. Kwanza nitoe pongezi kwa serikali yetu kutambua na kuheshimu imani za watu. Binafsi ninaamini katika Mungu, tena kindaki ndaki. Lakini kuna jambo halipo sawa mahali. Nikiuliza leo hii wangapi waliujuaje Ukristo au Uislam, watajibu...
  4. Justine Marack

    Kwanini watusi wanataka kutambuliwa Tanzania?

    Kama kuna kosa ambalo Tanzania inaweza kulifanya basi ni kupuuzia hawa watu wanitwa Watusi. Huko Congo, Burundi na Uganda n'ai walikua wakarimu kama Tanzania. Watu wa Congo Kinshasa walipokua wakiambiwa kuhusu ubaya wa Watusi, waliona kama watu wa mpakani wanachuki binafsi na majirani zao...
  5. Kwitogelo

    Kuna vipimo vinavyoweza kubaini Mtu ambaye hawezi kuambukizwa UKIMWI?

    Habari za humu ndani? Kuna mazingira niliyokuwa nayaishi miaka mitano iliyopita hayakuwa mazuri kiufupi nilikuwa nakula matunda kimasihara sana afu bila hata ya kuangalia types za matunda yenyewe(kiufupi watu wenyewe tulikuwa hatuendani kabisa yaani) Sasa bwana kuna kipindi nilijiendekeza...
  6. L

    Rais Samia aitwe na kutambuliwa kama Mama wa Taifa

    Ndugu zangu watanzania, Nashindwa nianze na lipi juu ya kumuongelea Rais huyu shupavu, Hodari, Mahiri, mnyenyekevu,mwenye moyo wa upendo,huruma na ukarimu, Msikivu na mwenye Subira, madhubuti na Imara, mwenye msimamo na asiye yumba, mwenye Dira na muelekeo sahihi, mwenye Sera na ajenda za...
  7. BARD AI

    Kaunti ya Nairobi kutupa miili ya watu 236 waliokosa kutambuliwa na ndugu

    Kwa mujibu wa taarifa, miili 218 ambayo haijachukuliwa na wahusika au ndugu wa marehemu imehifadhiwa katika Mochwari ya Jiji la Nairobi na mingine 18 iko Mochwari ya Mama Lucy. Wananchi wametakiwa kwenda kuitambua miili hiyo na kuichukua, na endapo hatatambuliwa au kuchukuliwa ndani ya siku 7...
  8. Etugrul Bey

    Kila mtu anahitaji mchango wake kutambuliwa

    Habar Wana JF, Nimevutwa kuandika Uzi huu baada ya Leo asubuhi kumuaga dada wa kazi ambaye alikuwa hodari Sana katika kuwahudumia watoto wangu,kipindi chote tulicho ishi nae akifanya kazi vizur Sana na Kwa mapenzi makubwa,tunajisikia fahari juu yake. Kabla ya kuondoka nilimshukur Sana Kwa...
  9. Nyankurungu2020

    Ni aibu kwa taifa letu kumuona Prof Abdulrazak Gurnah kama shujaa wa taifa letu, wakati huko nyuma hajawahi kutambuliwa kwa kazi alizofanya

    Ni kweli huyu Prof ni mtu mwenye asili ya Tanzania visiwani na amekuwa akifundisha University of Kent tangu mwaka 1982. Amendika vitabu vingi tu lakini sijawahi kusikia serikali yetu ya Tanzania ikijisifu kuwa kuna mtanzania anafanya kazi nzuri za fasihi huko Uingereza. Sijawahi kusikia hata...
  10. Alagwa

    Youtubers wa Tanzania ni vema wakatambuliwa na kuthaminiwa

    Kunekuwa na muamko mkubwa kwa vijana wanaofanya online content creation kwa upande wa YouTube. Nafikiri ni muda sasa wa kuunganisha watu pia kupata wawakilishi katika midahalo mbalimbali na kuitambulisha ili kuchukuliwa kama ni kitu cha msingi kinacho fanywa na vijana. Pia kupata wawakilishi wa...
Back
Top Bottom