kutamka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    Je kiimani ni sahihi kwa muislamu kutumia au kutamka Yahweh Subhana badala ya Allah Subhana akikusudia maana ileile kuwa Mungu ni mkamilifu?

    Wadau hamjamboni nyote? Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu Usiku mwema
  2. F

    Elections 2015 Je ni kweli mgombea Urais CCM 2015 alikuwa Amina Ally ila kwa kutamka Lowassa atakuwa Makamu wake akagauza upepo?

    Nipo hapa Dodoma mzee mmoja wa Makamo ndani ya chama kateta nami jambo hili. Mzee anadai Balozi Amina Ally aliteleza wakati wa kuomba kura huku akijua wazi jina la Lowassa limekatwa na kudai atamteua kuwa mgombea mwenza. Kauli yake hiyo kilimkera mwenye Chama chake kipindi hicho na bahati...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    Je, anayoyasema kiboko ya wachawi kuhusu Watañzania kuwa wendawazimu yana ukweli kiasi gàni? Je, yeye ni wa kwanza kutamka maneno kama hayo?

    JE ANAYOYASEMA KIBOKO YA WACHAWI KUHUSU WATAÑZANIA KUWA WENDAWAZIMU YANA UKWELI KIASI GÀNI? JE YEYE NI WAKWANZA KUTAMKA MANENO KAMA HAYO? Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Nimeshangaa Sana Baadhi ya Watu wakiumia, wakikerwa na kuchukizwa na maneno ya Nabii wa Buza, AKA Kiboko ya Wachawi baàda...
  4. mdukuzi

    Geita: Upendo Peneza akaripiwa na viongozi adharani, ni baada ya kutamka Chadema badala ya CCM wakati akihutubia

    Huyu dada kama ilivyo msigwa,wako CCM kimaslahi ila kiroho na kimwili wako Chadema. Akihutubua mkutano wa adhara mbele ya katibu mkuu wa CCM Emanuel Nchimbi na katibu wa itikadi na uenezi Amos makala,,Upendo peneza alijinasibu kuwa yeye ni chadema baadae akafuta kauli. Baada ya mkutano kuisha...
  5. Maalim Raphael

    Ujumi: Ni sahihi na rahisi kutamka ntu, mwananke, ntoto kuliko mtu, mwanamke na mtu

    Salaam wanajamvi! Katika Mambo ambayo watu wa Kusini (Lindi na Mtwara) husemwa na kudhihakiwa ni utamshi wetu wa kipekee wa baadhi ya maneno yanayohusisha ncha ya ulimi kama vile; mwananke, ntoto, nti, nshale nk. Wanaotucheka hudhani tunakosea utamshi sahihi wa lugha adhimu ya Kiswahili kumbe...
  6. GENTAMYCINE

    Je, ni sahihi kwa Mtangazaji wa TBC Taifa kutamka haya Hewani?

    "Tafadhali ewe Mtanzania fanya kila uwezalo na kama una Babu yako Mganga wa Kienyeji mwambie asaidie kwa Ndumba ili Taifa Stars iifunge Zambia na hata tulicheza na Congo DR tushinde pia" Kuna Mtu miaka ya nyuma aliwahi kuniambia kuwa kama kuna Media ambayo Watumishi wake Wanarogana / Wanapigana...
  7. MK254

    Afungwa miaka miwili kwa kutamka "Bismilallahi" huku akila nyama ya nguruwe

    Staa wa TikTok kutoka nchini Indonesia, Lina Mukherjee amehukumiwa kifungo cha miaka miwili jela kutokana na video aliyo-post inayomuonesha akisema neno linalotumiwa na Waislamu la ‘Bismillah’ kabla ya kula nyama ya nguruwe, jambo ambalo limelaaniwa vikali nchini humo. Neno hilo hutumiwa na...
  8. sonofobia

    Gamondi anajiamini nini kutamka maneno haya?

    Nimemuona jana kwenye press akisema haogopi timu yoyote anaamini wachezaji wake wanaweza cheza hata na Barcelona au real Madrid. Kuna mwandishi alitaka kumtisha na majina makubwa ya timu za Africa. Kifupi Gamondi anasema waleteeee 🔥🔥🔥
  9. R

    Naomba niwasaidie watangazaji wa vituo vyote vya redio namna ya kutamka majina ya Kijerumani

    Naona hili ni tatizo kubwa sana kwa watangazaji wetu wa vituo vyote vya redio kuanzia redio ya taifa mpaka vituo vidogo vya redio linapokuja jina lenye asili ya kijerumani matamshi yanakuwa ndivyo sivyo kabisa. Ni kama wewe umsikie mtu akitamka jina Juma kama Jima au Joma. Au jina Ali kama Hali...
  10. B

    Dkt. Slaa: Kuwaondoa wasiowasikiliza Wananchi, siyo Uhaini

    Akihojiwa na DW amesikika Dkt Slaa: "Alipokamatwa akishtakiwa kwa uhaini alijiandaa kwa kifungo cha maisha na hata kunyongwa.". Ameendelea Slaa: "kutamka au kuwaondoa wasiowasikiliza wananchi hakuwezi kuwa uhaini", Kwamba hilo ni kwa mujibu wa Katiba yenyewe. Tusiogope waungwana kula na...
  11. Wakili wa shetani

    Ticha wako alikuwa anasumbuka kutamka maneno gani?

    https://youtube.com/shorts/m3V0DrNdKns?si=zE3dCx52pGD7Dx3A
  12. Lord denning

    Lissu hajawahi kutamka neno Rais apinduliwe

    Namkosoaga sana Tundu Antipas Lissu ila kwenye eneo ambalo nakiri na nasema ukweli ni kwamba Tundu Antipas Lissu ni mwanasheria smart sana. Tundu Lissu anajua sheria hasa, kwenye maneno yake anapima kila kitu anachoongea kwenye mizani ya sheria ndo mana hata kumkamata kisheria ni ngumu sana...
  13. kavulata

    Mgeni mwalikwa Mkutano Mkuu wa CCM kuita CCM 'Chama cha Mambuzi' ni kwa bahati mbaya au kweli?

    Nilicheka hadi nikafufuka upya wakati mjumbe wa Ethiopia alipokiita CCM chama cha mambuzi. hebu msikilize na wewe
  14. Mystery

    Spika Tulia Ackson anapaswa awajibike kwa kujiuzulu, kutokana na kutamka kuwa anayemsema vibaya Rais Samia, anapaswa ashughulikiwe!

    Kwanza nieleze masikitiko yangu makubwa Sana kwa jinsi nilivyomsikia Spika Tulia Ackson akihamasisha machafuko, wakati akihutubia Umoja wa vijana wa CCM huko jijini Mbeya. Kwa nchi inayoendeshwa kwa Demokrasia na yenye mfumo wa vyama vingi, ni jambo la kuskitisha Sana kwa matamko aliyoyatoa...
  15. S

    Ni suala la muda tu kabla Ndugai hajakiri au kutamka hadharani kuwa Katiba ya nchi ni mbovu

    Bnafsi naamini kilichomfanya Ndugai ajiuzulu si mashambulizi(shinikizo) kutoka ndani na nje ya chama chake, bali ni baada ya kugundua Rais hana imani nae huku mhimili anaouongoza Rais ukiwa umejichimbia zaidi. Hivyo, bwana Ndugai akaona hana ubavu wa kupingana nae akaamu kujiuzulu. Kwahiyo...
  16. J

    Mkapa alikuwa sahihi: Utumishi wa Umma hauna shukrani

    Mzee Benjamin Mkapa (Mungu amrehemu) kwenye kitabu chake katika sura za mwisho alitafakari kidogo juu ya mambo kiongozi wa umma anayozushiwa pamoja na utendaji wake mzuri. Mzee Mkapa alisimulia namna Costa Rica Mahalu Balozi mwema alivyozushiwa zigo la rushwa tena kwa kusingiziwa na likamtesa...
  17. Father of All

    Profesa Mukandala kushindwa kutamka neno Wahafidhina nini tatizo?

    Wanangu hamjamboni? Sijui niuite usomi, ujinga, ukoloni wala sijui. Wakati akisoma utangulizi wa Kitabu cha Mzee Ali Hassan Mwinyi, Profesa Rwekaza Mukandala alishindwa mara mbili kutamka neno wahafidhina. Ingekuwa kashindwa kutamka neno la kimombo ungesikia stori kibao. Je, hii inamaanisha...
  18. Sam Gidori

    Sasa unaweza kuifundisha Google Assistant kutamka majina kwenye simu yako

    Kama umekuwa mtumiaji mzuri wa huduma ya Google Assistant, utakuwa unafahamu ni kwa ainsi gani huduma hii ilivyorahisisha utafutaji kwenye simu yako. Ni rahisi kutafuta kuhusu hali ya hewa, matokeo ya mechi, mgahawa ulio jirani, nk., vyote kwa njia rahisi tu ya kuzungumza kwenye simu yako...
  19. Viol

    Nguvu za kutamka 'nina mimba yako' unapata wapi?

    Umepewa nauli, umelipwa kama short time unapata nguvu gani kusema nina mimba yako? Halafu nina mimba yako nafanyaje? Unakujaje uko danger? Tembeeni na kinga siyo kujiachia kama mkasi.
Back
Top Bottom