Wakuu,
Nimeona mimba nyingi ila hii ni aina yake.
Huyu mwanamke ndo mimba yake ya kwanza lakini sasa
Anatapika kila anachokulaaa anatapika chakula kinaisha had anatapika maji hamna kinachotoka.
Muda wote. Tumbo linamuuma na kumvuruga muda woteee.
Hawezi kutembea hawezi kufanya kazi wala...
Kutapika damu, pia inajulikana kama hematemesis, inaweza kusababishwa na hali mbalimbali za kiafya, zikiwemo:
1. Vidonda vya tumbo (Peptic ulcers): Vidonda vilivyo ndani ya tumbo au sehemu ya juu ya utumbo mdogo vinaweza kusababisha kutapika damu.
2. Magonjwa ya ini: Magonjwa kama cirrhosis...
Habari, Nina mtoto wa miaka 7 anatapika damu fresh. Tatizo hili limetokeza Kama siku 18 zilizopita.
Nimempeleka hospital ya Benjamini Mkapa . Kwa kutumia kipimo Cha kuingiza tumboni wamegundua ni vidonda vya tumbo (gastric ulcers).
GERD with LPR
Nimepewa dawa za anti acid, PPI's na anti...
Kituo cha Afya cha Sabasaba katika Manispaa ya Morogoro, kimezidiwa na wagonjwa wa kuharisha na kutapika wenye dalili zote za ugonjwa wa Kipindupindu, ambapo usiku wa kuamkia Julai 16, ITV imekuta wagonjwa 12 wakiwa wametandikiwa magodoro maeneo mbalimbali ikiwemo sakafuni, kwenye mabenchi ya...
Bondia Hemed Rashid amepoteza pambano kwa TKO dhidi ya Iman Bariki 'Man Chuga', baada ya kupoteza fahamu na kupelekea kushindwa kuendelea na mapambano na kukimbizwa hospitalini kwa gari maalum ya wagongwa.
Bondia huyo alipoteza mchezo huo katika raundi ya nane katika pambano la Dar Boxing...
Habari wadau,
Msaada Mwanangu anatapika na kuharisha na muda wote analala tu, naombeni mtu ambae ana experience na hii kitu.
Nimeenda hospitali mbili tofauti wamempatia madawa kunywa shida na akinywa muda si muda anatapika tena , hospitali walisema ana UTI na backeria tumboni sasa da...
Baada ya tetesi na hatimaye matamko rasmi kutolewa mara kadhaa kuhusu madhila yanayotokana na maji ya Mto Mara, ripoti zaidi zimeendelea kutolewa kupitia vyombo mbalimbali vya habari kuhusu kinachoendelea katika mto huo.
Awali ilidaiwa kuwa kuna kimikali zenye sumu katika Mto Mara ambazo nyingi...
Jana kwenye mechi ya Biashara united na Al ahal ya libya ( speling) kwenye mashindano ya kombe la shirikisho barani afrika, tuliona mchezaji mmoja wa Al ahal akitapika maji uwanjani.
Sababu zilizotolewa japo sio za kitaalam ni kwamba mchezaji alikunywa maji mengi, baada ya kukutana na joto kali...
Kuna mambo mengi yanaweza kukutokea ukiwa safarini
1. Kutapika kwenye gari
2. kubanwa na tumbo la kuharisha
3. Kuachwa na gari wakati wa kuanza safari au wakati mmeshuka kupata chakula.
4. Mengineyo
Mwaka flani nilikuwa natoka Morogoro kwenda Dar. kabla ya safari nakumbuka nlikula zile chapati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.