kutatua matatizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kutatua matatizo ya taifa letu tupate Katiba ambayo itaruhu rais kushitakiwa akiwa madarakani na hata atapokuwa amemaliza muda wake kama mkuu wa nchi

    Hii kinga ya rais kutoshitakiwa inamfanya rais kutumia madaraka yake vibaya sana. Watanganyika tupamnane tupate katiba ambayo itatupa madaraka sisi wananchi. Rais akijigeuza yeye sultani na familia yake aweze kupelekwa mahakamani na kushitakiwa. Hata akifanya makosa na kawa amestaafu...
  2. JamiiForums Tanzania Mtu yupo chuo kikuu lakini bado analalamika mitandaoni, sasa hiyo elimu inakusaidia nini kama huwezi kutatua matatizo kisomi

    Watanzania elimu ni tiba ya kutatua matatizo siyo kusoma tu kama unasoma gazeti. Inakuwaje mwanachuo ulalamike mitandaoni na upo na utawala hapo hapo ,na Kuna suggestion boxes kibao, na umesoma research writing huoni kama unakidhalilisha chuo? Andikeni maandiko, fanyeni mini research watu waone...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Ili Tuweze Kutatua Matatizo Yetu Kama Taifa, Tunatakiwa Kujenga Utamaduni wa Kusema Ukweli

    Ukweli ni msingi wa maendeleo ya kweli katika jamii yoyote. Taifa linalojengwa juu ya misingi ya unafiki, uoga na kuficha ukweli, haliwezi kufikia maendeleo ya kweli wala ustawi wa wananchi wake. Ili tuweze kutatua changamoto zinazoikumba nchi yetu — iwe ni katika sekta ya afya, elimu, uchumi...
  4. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 CCM tafadhali tujaribu kutuliza vichwa, Hatuwezi kutatua matatizo yetu kwa kujidanganya kuwa hayapo

    Katika hali ya sasa, ni muhimu kwa viongozi wote wa CCM, kuanzia ngazi ya chini hadi juu, kuelewa muktadha wa hali ya sasa haujawai kutokea tangu uhuru. katika kipindi hiki Influence ya chama imeporomoka sana, hali ya kisiasa inahitaji uangalifu wa kipekee. Viongozi wanapaswa kuwa na busara...
  5. JamiiForums Tanzania Hatuwezi kutatua matatizo yetu kwa kujidanganya kuwa hayapo

    Kwa nini tunaendela kujidanganya kwamba kuendelea ndo kutatusandia kutatua matatizo yetu? Nani ambae hajui kilio cha watanzania ni Katiba mpya, Utekaji, mauji, Ufisadi, rushwa TUME huru ya Uchaguzi. Watanzania kwa sasa wanahitaji kuweka viongozi wao wanao wataka kupitia box la kura sasa...
  6. JamiiForums Tanzania Ni upumbavu kudhani vijana wanahitaji wizara ili kutatua matatizo yao

    Tumekataaaa. Mahitaji ya Vijana ni hayo yalowafanya Waandamane na Wataendele kuandamana.
  7. H

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kama maandamano ndiyo njia tuliyoichagua ili kutatua matatizo yetu basi iwe hivyo hakuna haja ya kutukanana mitandaoni

    Habari, Jamii iliyostaarabika haitumii matusi na mihemko kama silaha ya mapambano dhidi ya maadui zao bali hujipanga kwa ustadi na kutafakari na kupata njia nzuri watakayotumia ili kushinda vita. Kwa sasa ni wazi watanzania waliowengi wamechagua MAANDAMANO ili kupambana na viongozi...
  8. JamiiForums Tanzania LGE2024 Freddie: CCM haiwezi tena kutatua matatizo ya wananchi

    CHADEMA Jimbo la Same Mashariki wakiongozwa na Freddie wameendelea na kampeni za kuwanadi wagombea wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji huku wakizidi kuwasisitiza wananchi kuwa CCM haiwezi tena kutatua matatizo ya wananchi badala yake wachaguwe viongozi wa kutoka CHADEMA Pia wamesisitiza...
  9. JamiiForums Tanzania Tanzania ni nchi inayotengeneza matatizo na kutatua matatizo

    Tangu uhuru, Tanzania imekua na Viongozi wengi ambao si wajenzi wa taifa, ni wasuluhishaji wa MATATIZO ma mambo kisiasa na kuacha mianya kesho mwingine aje ale. Barabara zinajengwa hazimalizi hata decades zinabomolewa, masoko, airport mbali mbali, mahospital, mifumo ya maji na umeme, maswala ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…