Kutawadha: ima ni lazima na ima inapendekezwa:
a. Ni lazima kutawadha kwa mambo matatu
1. Kuswali
Mwenyezi Mungu U Anasema: {Enyi Mlioamini! Mnapo simama kwa ajili ya swala basi osheni nyuso zenu, na mikono yenu mpaka vifundoni, na mpake vichwa vyenu, na osheni miguu yenu mpaka vifundoni} [5...